Tujenge njia nne (mbili kila upande) kupunguza ajari za barabarani Tanzania

Tujenge njia nne (mbili kila upande) kupunguza ajari za barabarani Tanzania

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,622
Reaction score
3,696
Barabara zetu Tanzania ni nyembamba hivyo kuleta kusababisha ajari nyingi sana.

Ushauri: Barabara kuu zote zijengwe njia 4 [ mbili upande huu na mbili upande ule ]. Hii itasaidia sana kupunguza Ajari na kundoa foleni zisizo za lazima.

FB_IMG_1755371457114.jpg
 
Back
Top Bottom