COARTEM JF-Expert Member Joined Nov 26, 2013 Posts 3,622 Reaction score 3,696 Aug 16, 2025 #1 Barabara zetu Tanzania ni nyembamba hivyo kuleta kusababisha ajari nyingi sana. Ushauri: Barabara kuu zote zijengwe njia 4 [ mbili upande huu na mbili upande ule ]. Hii itasaidia sana kupunguza Ajari na kundoa foleni zisizo za lazima.
Barabara zetu Tanzania ni nyembamba hivyo kuleta kusababisha ajari nyingi sana. Ushauri: Barabara kuu zote zijengwe njia 4 [ mbili upande huu na mbili upande ule ]. Hii itasaidia sana kupunguza Ajari na kundoa foleni zisizo za lazima.