Na mazwazwa matanzania yametulia tu kama majitu tuliokufa nguvu za kiumeTatizo pesa hakuna maana sa100 amezielekeza kwenye ujenzi wa miradi yake binafsi kule zanzibar na dubai.
Hivi hatuwezi kweli kujenga barabara za malori tu angalau several kilometers from town center yachepuke kuepukà msongamano na kuleta àjali.
Casual observation inaonesha kuwa ajali mbàya zinatokea several, 10, 15, 20 kms kutoka mjini centre.......
Morogoro pamekuwa machinjioni ya maisha ya watu. Tunaweza kujenga barabara 20 km or as per research on the appropriate findings before kuingia Morogoro. Malori yanapita huko yanaunganisha kwenda Dodoma, Dar, Mbeya......