wewe huko kwenu mbozi hakuna network? Morata kashaanza kuaga stamford bridge, siku hizi hata nafasi yake anacheza Giroud.sawa kwani morata nae anafunga? mbna usemi kurudi kwake spain? acheni kujishusha wabongo
Uchawi uko wapi hapo? Tukubali kuupokea ukweli hata kama unauma, Samatta ameshuka uwezo na akiendelea na fomu hiyo atarejea Afrika muda si mudahuyu alikua majeruhi bana ulitaka arudi tu kua kwenye kiwango kile kile.. Watz tunachawiana sana
Kuelewa nilivyoandika tu tatizo ndo utajua mpira... Nimetoa mfano sijafananisha Messi na Samatta.. Tumia akili, na acha wivu wa kijinga.We jamaa hujui mpira unafananisha Messi na Samatta?
Wewe ndio walewale mnaoingia kwenye banda la mpira huku unasikilza redio
Chuki braza watu tunaombeana mabaya na kusifiana kinafiki.Mimi ndio maana habari ya marafiki sina na siitaki kuisikiaHata Messi hafungi kila mechi. Badala ya kumtakia heri arudi kwenye kiwango chake wewe unatabiria kushindwa na kurudi Afrika.. Aisee hii sijui inatokana na nini...!
Exactly mkuu..Jamaa anaroho ya kishetani mno, halafu si muelewa kabisaChuki braza watu tunaombeana mabaya na kusifiana kinafiki.Mimi ndio maana habari ya marafiki sina na siitaki kuisikia
Messi,Ronaldo na Pogba huwa wanafunga kila siku? mbona wale huwa wanaongea na makocha wao wanasawazisha maisha yanaendelea? Wabongo tuna tabu,kwanza Samatta wakati anahangaika mbona hakuna mtu yeyote aliyekuwa akimtaja? Wamemuona yupo Ulaya sasa povu limeanzaExactly mkuu..Jamaa anaroho ya kishetani mno, halafu si muelewa kabisa
kaka upo sahihi.Kazi kuu ya Mshambuliaji ni kufunga magoli. Mshambuliaji wa klabu ya Genk na timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta amekuwa katika fomu ya chini sana msimu huu.Samatta hafungi tena magoli kama awali, naona kama mwisho wake wa kuendelea kuvheza Genk unakaribia, kama mambo yasipobadilika muda wowote kuanzia sasa Samatta atakuwa anarejea barani Africa kutafuta timu ya kucheza ila sio Tanzania. Huu ni mtazamo tu, msijenge chuki!!
nimekuelewa kakakaka upo sahihi.
ila kutokana na perfomanc ya msimu uliopita anaweza akaendelea kucheza balani ulaya kwa timu nyingine... maana genk ni timu kubwa,kwahyo timu ndogi za ligi hiyo zinaweza kumuhitaji..... MFANO LUKAKU ANAWEZA KWENDA STOCK CITY
Kwanza tukubali kuwa anashukaSamatta yule sio wa sasa, anapitia wakati mgumu sana katika career yake ya soka.
Tumtie moyo walau arudi katika fomu yake, japo nina mashaka na umri wake pia.
Mbona ngumu kuelewa? Hakuna sehemu mada inazungumzia Assists za kufunga.Unakosea, ni kweli Messi afung kila mechi ila anatoa assists za kufunga magoli na he makes the team better ila Samatta sivyo hivyo....aliyeleta mada hajakosea.
Mbona ngumu kuelewa? Hakuna sehemu mada inazungumzia Assists za kufunga.
Kasema kufunga mabao, ndo maana tukasema huwezi kuwa bora kila siku na hasa ukizingatia alikuwa majeruhi