Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Hata Messi hafungi kila mechi. Badala ya kumtakia heri arudi kwenye kiwango chake wewe unatabiria kushindwa na kurudi Afrika.. Aisee hii sijui inatokana na nini...!
Wewe mpumbavu sana tena wa mwisho hapa JF.. Embu soma thread hapo kisha uje, acha kudakia usichokijua, wapi kasema kuhusu assist?We ni mpuuzi sana....usilete ubongo fleva hapa. Messi alisemwa hafungi kila mechi, nikatoa ushuhuda kuwa ni kweli hafungi kila mechi ila anapika (assist) mabao kwa wenzake wafunge na Samatta hafanyi hivyo. In short, Samatta hana impact katika timu yake, bado unataka kubisha tu? Mpumbavu sana wewe, unakuwa kama shabiki wa Yanga asiyetaka kukubali ukweli ila anasumbuliwa na hasira tu.
Mtoa mada hajasema hayo usemayo wewe ila kwa kuwa umezoea kushikwa unaweza kumsaidia.. Mjinga mmoja weweMessi has an impact kwenye timu yake ila Samatta hana. Messi si LAZIMA afunge, yeye anapika mabao kwa wenzake wafunge....usikurupuke kuandika, maliza kunya kwanza na ujichambe vizuri kisha fikiri kabla ya kuandika muharo wako huo.
kashaaza kuaga kumbe rejea hii kauli kumbe msimu huu ndio alikua striker wa chelseawewe huko kwenu mbozi hakuna network? Morata kashaanza kuaga stamford bridge, siku hizi hata nafasi yake anacheza Giroud.
Wazungu sio wababaifu kama sisi, kazi yako ikiwa ni straika basi tupia magoli au tengeneza wenzako wafunge kinyume na hapo utarudi ulikotoka maana hamna namna.
Mtoa mada hajasema hayo usemayo wewe ila kwa kuwa umezoea kushikwa unaweza kumsaidia.. Mjinga mmoja wewe
Hilo nalo neno!!!Atakuwa kapata demu sasa hivi.
SIJAJUA LABDA TUMUULIZE DAKTARI WA TIMUsawa mkuu, toka arudi majeruhi umepita muda gani?
Kwa hiyo umefurahi au ?Kazi kuu ya Mshambuliaji ni kufunga magoli. Mshambuliaji wa klabu ya Genk na timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta amekuwa katika fomu ya chini sana msimu huu.Samatta hafungi tena magoli kama awali, naona kama mwisho wake wa kuendelea kuvheza Genk unakaribia, kama mambo yasipobadilika muda wowote kuanzia sasa Samatta atakuwa anarejea barani Africa kutafuta timu ya kucheza ila sio Tanzania. Huu ni mtazamo tu, msijenge chuki!!
Twende sigs mama hiyo inasumbua,, hapo gozi ndiyo kwaheriiiii!!huyu alikua majeruhi bana ulitaka arudi tu kua kwenye kiwango kile kile.. Watz tunachawiana sana