Tujiandae kumpokea Mbwana Samatta muda wowote kuanzia sasa!!

Samatta katokea Sub na kuiokoa timu kupigwa uwanja wa nyumbani tena kaifunga timu kubwa tu ya Gent
 
Hakuna watu wachawi duniani kama Tanzania.
Aliyepata kapata, hutamuona Africa siku za karibuni.
Akitoka huko basi ataenda zake China au Uarabuni kuchukua pension yake.
pambana mwanao afikie hata robo ya Mbwana
 
News bwana Samatta anakuja kujiunga na timu ya singida United
 
Gent sio timu kubwa...ungesema standard liege,anderlecht au clube bruge hizo ndio club kubwa belgium
Mkuu ungekuwa unafatilia hii ligi usingeandika hiki kitu. Hao Standard liege mara ya mwisho kufuzu Champions league ilikuwa lini?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…