Tujiandae kupeleka Injili Saudi Arabia na kufungua Makanisa

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,678
Reaction score
27,653
Jennifer Lopez akiwa katika ardhi ya Mtume, Jeddah – Saudia Arabia – akiwaselebusha Waarabu (maquresh), imekuwa ni picha ya ajabu na ya kushangaza kwa wale ambao bado wanaiheshimu ardhi hiyo kama tukufu. Muziki wa Kimagharibi, densi za uchi, na uropokaji wa kibepari vimegeuzwa kuwa burudani halali mbele ya macho ya Waarabu waliokuwa wakifundishwa kuwa dunia ya Kimagharibi ni najisi na ya kipagani.

Crown Prince Mohammed bin Salman mwenyewe alisema bayana: “Nitahakikisha Saudi Arabia inakuwa kama Ulaya.” Na kweli, hatua kwa hatua, anatekeleza hilo. Wanawake sasa wanavaa kisasa, sinema zimefunguliwa, tamasha kubwa la muziki (MDL Beast) linawavuta mastaa wa dunia – huku taratibu, sauti ya kale ya Uislamu ikizidi kufifia.

UAE wao walishaanza zamani. Dubai ni mfano wa mji wa kisasa unaoishi kana kwamba uko Miami au Paris – lakini kwa mavazi ya abaya. Wamejenga ufalme wa kibiashara uliojifunika kwa mgongo wa dini, lakini moyo wake uko katika tamaa ya dunia na starehe.

Mimi nasubiri tu hatua moja tu – uhuru wa dini. Nikisikia hilo limeruhusiwa rasmi, mimi nitakuwa wa kwanza kufungua huduma ya injili ya kweli na kuanzisha kanisa la nuru katikati ya Jeddah au Riyadh. Si kwa kupinga, bali kwa kutimiza agizo la Bwana – “Nendeni mkaihubiri injili kwa mataifa yote.”

Hayo ya kuselebuka na Jennifer Lopez, burudani za usiku, na watu kushangilia tamasha kana kwamba wako Coachella, namwachia yeye pamoja na maquresh wenzake. Lakini wakati wao unakuja. Na nina uhakika, nuru ya kweli itamulika tena hata katika ardhi hiyo ya kale – si kwa tamasha, bali kwa Neno la Uzima
 
Crown prince wa Saudia, ameamua kwa kweli. Ila bora yeye kajiweka wazi kuliko ninyi wengine mnaojifanya mnayo dini huku ni wahuni tu. Miziki kama hii mnasikiliza kama kawaida. Halafu mnazuga.
 
Kinachoonekana leo Saudi Arabia si ushahidi kwamba watu hawana dini mioyoni mwao, bali ni hali ya kulazimishwa kufuata mifumo ya kidini isiyoendana na mitazamo yao ya kisasa. Wengi wanaweza kuwa waumini wa kweli ndani ya nafsi zao, lakini mazingira ya kijamii na kisiasa yamewazuia kuishi kwa uhuru wa kiroho au wa kimtazamo.
 
Kiazi wewe, umechelewa kulijua hili.
Unashadadia vitu ambavyo huna current news navyo. Jason ashafanya tamasha Saudia since 2020, wewe unashangaa leo. Halafu jua kutofautisha uislamu na waislamu. Kingine Dini zisikufanye ukawa mbwiga.
 
Nasi wakristo tunataka tujisitiri mkuu..
Mara mia ifunuliwe kuliko ikutwe iko wazi,peupe ...wanapoteza nguvu za kiume
Em nikuelekeze kidogo,unajua ile jitihada ya kuanza kufunua Abaya huwa inaongeza munkali ya kuipata Lulu...😋
 
Jennifer Lopez akiwa katika ardhi ya Mtume, Jeddah – Saudia Arabia – akiwaselebusha Waarabu (maquresh), imekuwa ni picha ya ajabu na ya kushangaza kwa wale ambao bado wanaiheshimu ardhi hiyo kama tukufu. Muziki wa Kimagharibi, densi za uchi, na uropokaji wa kibepari vimegeuzwa kuwa burudani halali mbele ya macho ya Waarabu waliokuwa wakifundishwa kuwa dunia ya Kimagharibi ni najisi na ya kipagani.

Crown Prince Mohammed bin Salman mwenyewe alisema bayana: “Nitahakikisha Saudi Arabia inakuwa kama Ulaya.” Na kweli, hatua kwa hatua, anatekeleza hilo. Wanawake sasa wanavaa kisasa, sinema zimefunguliwa, tamasha kubwa la muziki (MDL Beast) linawavuta mastaa wa dunia – huku taratibu, sauti ya kale ya Uislamu ikizidi kufifia.

UAE wao walishaanza zamani. Dubai ni mfano wa mji wa kisasa unaoishi kana kwamba uko Miami au Paris – lakini kwa mavazi ya abaya. Wamejenga ufalme wa kibiashara uliojifunika kwa mgongo wa dini, lakini moyo wake uko katika tamaa ya dunia na starehe.

Mimi nasubiri tu hatua moja tu – uhuru wa dini. Nikisikia hilo limeruhusiwa rasmi, mimi nitakuwa wa kwanza kufungua huduma ya injili ya kweli na kuanzisha kanisa la nuru katikati ya Jeddah au Riyadh. Si kwa kupinga, bali kwa kutimiza agizo la Bwana – “Nendeni mkaihubiri injili kwa mataifa yote.”

Hayo ya kuselebuka na Jennifer Lopez, burudani za usiku, na watu kushangilia tamasha kana kwamba wako Coachella, namwachia yeye pamoja na maquresh wenzake. Lakini wakati wao unakuja. Na nina uhakika, nuru ya kweli itamulika tena hata katika ardhi hiyo ya kale – si kwa tamasha, bali kwa Neno la Uzima
View attachment 3315401
Ushaenda kumzika Papa?
 
Kuna wakati dini ikizidi sana ni hatari kuliko,hasa hii dini ya waislamu,hawa ni mahayawani kabisa,wanaamini katika kumlazimisha mtu kwenda peponi wakati ni utashi wa mtu,hii dini ingetawala Dunia ,hakika pangekuwa sehemu Mbaya sana Kwa binadamu kuishi,nikisikia Israel mtoa roho anawachachafya huko Palestine,Mimi moyo wangu unafurahi sana.

Mwaka Jana hawa waislamu kidogo wanitoe roho,ilikuwa ni kwenye mwezi wanaouita mtukufu,Mimi pasina kujua nilikuwa nimevaa kanzu nikawa nakula zangu mhogo, duh,nikasitukia kundi la watu limenizunguka eti naudharirisha uislamu Kwa kula siku ya mwezi wanaouita mtukufu,nikawaambia Mimi sio mwenzenu, hawakuelewa Hadi polisi walipoingilia kati.

Dini ya uislamu ni dini ya kifala sana,ndugu yangu akiamua kuwa muislamu akaamua kufuata hizi Aya za mashetani,Mimi udugu unaisha kabisa.
 
Ungempata Lax awafafanulie kanzu sio vazi la kidini😁
 
Back
Top Bottom