kweli tupu👿Kinachoonekana leo Saudi Arabia si ushahidi kwamba watu hawana dini mioyoni mwao, bali ni hali ya kulazimishwa kufuata mifumo ya kidini isiyoendana na mitazamo yao ya kisasa. Wengi wanaweza kuwa waumini wa kweli ndani ya nafsi zao, lakini mazingira ya kijamii na kisiasa yamewazuia kuishi kwa uhuru wa kiroho au wa kimtazamo.
tulia wewe uone saudia inavyobadilika kuwa nchi kama za kimagharibi, bata linaliwa sana tu huko. Mkiambiwa ukweli povu linawatokaKwa hiyo wasanii na wavaa uchi ndo wawakilishi wa Ukristo?
Ubarikiwe sana! Wana lazimishana tu na hizo dini kwasababu hawana namnaKinachoonekana leo Saudi Arabia si ushahidi kwamba watu hawana dini mioyoni mwao, bali ni hali ya kulazimishwa kufuata mifumo ya kidini isiyoendana na mitazamo yao ya kisasa. Wengi wanaweza kuwa waumini wa kweli ndani ya nafsi zao, lakini mazingira ya kijamii na kisiasa yamewazuia kuishi kwa uhuru wa kiroho au wa kimtazamo.
Kumbe Makanisa ni moja ya vitu vya kipumbavu?Amina mtumishi, tuombeane tu, soon wataruhusu uhuru wa dini, injili itapenya
Wamesharuhusu pombe,starehe ,na upumbavu mwingi,
Soon wataruhusu tujenge na makanisa
Wacha aifungue saudia,tuanze kuchakata mbususu za kiarabuJennifer Lopez akiwa katika ardhi ya Mtume, Jeddah – Saudia Arabia – akiwaselebusha Waarabu (maquresh), imekuwa ni picha ya ajabu na ya kushangaza kwa wale ambao bado wanaiheshimu ardhi hiyo kama tukufu. Muziki wa Kimagharibi, densi za uchi, na uropokaji wa kibepari vimegeuzwa kuwa burudani halali mbele ya macho ya Waarabu waliokuwa wakifundishwa kuwa dunia ya Kimagharibi ni najisi na ya kipagani.
Crown Prince Mohammed bin Salman mwenyewe alisema bayana: “Nitahakikisha Saudi Arabia inakuwa kama Ulaya.” Na kweli, hatua kwa hatua, anatekeleza hilo. Wanawake sasa wanavaa kisasa, sinema zimefunguliwa, tamasha kubwa la muziki (MDL Beast) linawavuta mastaa wa dunia – huku taratibu, sauti ya kale ya Uislamu ikizidi kufifia.
UAE wao walishaanza zamani. Dubai ni mfano wa mji wa kisasa unaoishi kana kwamba uko Miami au Paris – lakini kwa mavazi ya abaya. Wamejenga ufalme wa kibiashara uliojifunika kwa mgongo wa dini, lakini moyo wake uko katika tamaa ya dunia na starehe.
Mimi nasubiri tu hatua moja tu – uhuru wa dini. Nikisikia hilo limeruhusiwa rasmi, mimi nitakuwa wa kwanza kufungua huduma ya injili ya kweli na kuanzisha kanisa la nuru katikati ya Jeddah au Riyadh. Si kwa kupinga, bali kwa kutimiza agizo la Bwana – “Nendeni mkaihubiri injili kwa mataifa yote.”
Hayo ya kuselebuka na Jennifer Lopez, burudani za usiku, na watu kushangilia tamasha kana kwamba wako Coachella, namwachia yeye pamoja na maquresh wenzake. Lakini wakati wao unakuja. Na nina uhakika, nuru ya kweli itamulika tena hata katika ardhi hiyo ya kale – si kwa tamasha, bali kwa Neno la Uzima
View attachment 3315401
Israel mtoa roho atapita na kila mtu sio mimi sio baba ako sio mama ako sio wewe ukishuhudia vifo vya uwapendao upewe na nguvu yakufurahia kama unavyofurahia vifo vya huko palestine. Kifo ni ndoto kila mmoja ataitimiza ni swala la muda tu. Roho yako kusuhuzika kwaajili ya vifo vya watu kisa itikadi tu sidhani kama ni sawa.Kuna wakati dini ikizidi sana ni hatari kuliko,hasa hii dini ya waislamu,hawa ni mahayawani kabisa,wanaamini katika kumlazimisha mtu kwenda peponi wakati ni utashi wa mtu,hii dini ingetawala Dunia ,hakika pangekuwa sehemu Mbaya sana Kwa binadamu kuishi,nikisikia Israel mtoa roho anawachachafya huko Palestine,Mimi moyo wangu unafurahi sana.
Mwaka Jana hawa waislamu kidogo wanitoe roho,ilikuwa ni kwenye mwezi wanaouita mtukufu,Mimi pasina kujua nilikuwa nimevaa kanzu nikawa nakula zangu mhogo, duh,nikasitukia kundi la watu limenizunguka eti naudharirisha uislamu Kwa kula siku ya mwezi wanaouita mtukufu,nikawaambia Mimi sio mwenzenu, hawakuelewa Hadi polisi walipoingilia kati.
Dini ya uislamu ni dini ya kifala sana,ndugu yangu akiamua kuwa muislamu akaamua kufuata hizi Aya za mashetani,Mimi udugu unaisha kabisa.