Bora hata mziki.....huku wanasifia Chadema kuuawa😀😀Crown prince wa Saudia, ameamua kwa kweli. Ila bora yeye kajiweka wazi kuliko ninyi wengine mnaojifanya mnayo dini huku ni wahuni tu. Miziki kama hii mnasikiliza kama kawaida. Halafu mnazuga.
Huko kwenye Ardhi yao kuchinjana ni jambo la kawaida. Lakini eti Mziki ndio wanaona ni dhambi.Kwa hiyo wasanii na wavaa uchi ndo wawakilishi wa Ukristo?
Swali zuriKwa hiyo wasanii na wavaa uchi ndo wawakilishi wa Ukristo?
Ushaenda kumzika Papa?Jennifer Lopez akiwa katika ardhi ya Mtume, Jeddah – Saudia Arabia – akiwaselebusha Waarabu (maquresh), imekuwa ni picha ya ajabu na ya kushangaza kwa wale ambao bado wanaiheshimu ardhi hiyo kama tukufu. Muziki wa Kimagharibi, densi za uchi, na uropokaji wa kibepari vimegeuzwa kuwa burudani halali mbele ya macho ya Waarabu waliokuwa wakifundishwa kuwa dunia ya Kimagharibi ni najisi na ya kipagani.
Crown Prince Mohammed bin Salman mwenyewe alisema bayana: “Nitahakikisha Saudi Arabia inakuwa kama Ulaya.” Na kweli, hatua kwa hatua, anatekeleza hilo. Wanawake sasa wanavaa kisasa, sinema zimefunguliwa, tamasha kubwa la muziki (MDL Beast) linawavuta mastaa wa dunia – huku taratibu, sauti ya kale ya Uislamu ikizidi kufifia.
UAE wao walishaanza zamani. Dubai ni mfano wa mji wa kisasa unaoishi kana kwamba uko Miami au Paris – lakini kwa mavazi ya abaya. Wamejenga ufalme wa kibiashara uliojifunika kwa mgongo wa dini, lakini moyo wake uko katika tamaa ya dunia na starehe.
Mimi nasubiri tu hatua moja tu – uhuru wa dini. Nikisikia hilo limeruhusiwa rasmi, mimi nitakuwa wa kwanza kufungua huduma ya injili ya kweli na kuanzisha kanisa la nuru katikati ya Jeddah au Riyadh. Si kwa kupinga, bali kwa kutimiza agizo la Bwana – “Nendeni mkaihubiri injili kwa mataifa yote.”
Hayo ya kuselebuka na Jennifer Lopez, burudani za usiku, na watu kushangilia tamasha kana kwamba wako Coachella, namwachia yeye pamoja na maquresh wenzake. Lakini wakati wao unakuja. Na nina uhakika, nuru ya kweli itamulika tena hata katika ardhi hiyo ya kale – si kwa tamasha, bali kwa Neno la Uzima
View attachment 3315401
Ungempata Lax awafafanulie kanzu sio vazi la kidini😁Mwaka Jana hawa waislamu kidogo wanitoe roho,ilikuwa ni kwenye mwezi wanaouita mtukufu,Mimi pasina kujua nilikuwa nimevaa kanzu nikawa nakula zangu mhogo, duh,nikasitukia kundi la watu limenizunguka eti naudharirisha uislamu Kwa kula siku ya mwezi wanaouita mtukufu,nikawaambia Mimi sio mwenzenu, hawakuelewa Hadi polisi walipoingilia kati.
Dini ya uislamu ni dini ya kifala sana,ndugu yangu akiamua kuwa muislamu akaamua kufuata hizi Aya za mashetani,Mimi udugu unaisha kabisa.
Unaendelea kudhihirisha ukilaza wako na udini.....Vipi hata Wafuasi wa Allah wako unataka kuwabeza wewe mrithi na muiga imani?Ushaenda kumzika Papa?
Umekosa ndege?Unaendelea kudhihirisha ukilaza wako na udini.....Vipi hata Wafuasi wa Allah wako unataka kuwabeza wewe mrithi na muiga imani?
Hawa watu mahayawani,wanapenda kujihesabia Haki na kuhukumu wengineUngempata Lax awafafanulie kanzu sio vazi la kidini😁
Kuna mtu anachinjwa bila sababu?Huko kwenye Ardhi yao kuchinjana ni jambo la kawaida. Lakini eti Mziki ndio wanaona ni dhambi.
Hizi Dini ni Scam
Kwahiyo hapo j lo ndio anasambaza injili?"Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe."
Marko 16:15 SUV