Tujiandae kwa hali mbaya ya bei za bidhaa na uhaba wa chakula, Serikali ichukue hatua kuelimisha wananchi

Msifanye watu wawe na taharuki zisizo na msingi hapo tu Ukraine vs urusi vp ikija ya china , USA,ujeruman,na mataifa makubwa yote, ndio maana tuna ambiwa kila siku kutegemea cha ndugu lazima utakufa maskini, hiyi nchi sio ya kuhaha kama mnavyotuaminisha , ni uongo na kupika data za hovyo , na sijui mnafanya kwa nia ipi
 
Haya ni madhara ya utawala.mbovu wa mwendazake. Madhara ya ukrain na Russia ni mwakani kuanza kuonekana
 
Binafsi nashukuru Mungu kuwa tatizo hili limetokea kipindi bwana yule alishatwaliwa na Muumba, maana tatizo lingekuwa kubwa zaidi na hakuna mtu yeyote angefungua mdomo wake.
 
Mkuu hivi mafuta yakipanda bei kuna bidhaa gani itabaki salama?
 
Hivi Ukraine vs Russia ndio vita pekee iliyotokea kipindi cha miaka 61 ya uhuru wa bongo? Mbona kama mnaitumia kuficha udhaifu wa serikali iliyopo.
Ccm walishafeli kitambo sana, sema wanalazimisha tu kutawala, imagine waliruhusu mtu kama Jiwe kushika madaraka makubwa vile. Sema Mungu anatulinda na kutupenda sana.
 
Ccm walishafeli kitambo sana, sema wanalazimisha tu kutawala, imagine waliruhusu mtu kama Jiwe kushika madaraka makubwa vile. Sema Mungu anatulinda na kutupenda sana.
 
Umetoa jibu jepesi kwenye jambo kubwa.Inaonekana wewe nikati ya watu ambao hawana uwezo wakutafuta altenative kwasababu tu jirani nayeye anatatizo kama lako.Huu sio wakati wakujilinganisha na mtu kwasababu kila nchi ina uchumi wake na mazingira yake.
Basi kaandamane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitutishe, hali hii itapita kama ilivyopita vita ya Kagera!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…