Tujiandae kwa hali mbaya ya bei za bidhaa na uhaba wa chakula, Serikali ichukue hatua kuelimisha wananchi

Hizi elimu za vitabuni zinapotumiwa bila kutumia akili alizojaliwa nazo mhusika huwa ni matatizo tupu!
Andiko zima ni kulialia tu, hakuna hata sehemu moja inayotaja watu kujituma kufanya yaliyo kwenye uwezo wao kuyafanya ili kupunguza makali ya hayo yanayotabiriwa!

Utegemezi huu ndiyo adui mkubwa sana katika maendeleo ya nchi yetu, na tumelemaa sana kuhusu utegemezi huu.
 
😅😅😅
 
sawa
 
Hongera kwa uchambuzi wako.sasa hivi maharage ni 3500/=.
 
Hamna serikali sahizi ni genge tu la wana CCM wasio na habari na wananchi wala shida zao!

Unawaambiaje watu kuwa vitu vitapanda sababu kuna vita ya Urusi na Ukraine. Connection yetu na urusi inakuja wapi?
Leo bei zinazidi kuongezeka na zitaongezeka zaidi
 
Zimbabwe, Venezuela, Iran wana mifumuko mikubwa ya bei kuliko iliyowahi tokea duniani ila wanaishi.
Hata sisi tutazoea

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii vita ilitabiriwa miaka mingi sana ilopita na mtabiri alishakufa zamani saana. Kifupi kwenye hii vita atakayeibuka kidedea ni china
 
Ingekua ndio kipindi hiki afu rais bado ni magu tungepishana na maiti mitaani watu wamekufa kwa njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…