Tujiandae kwa maumivu gani tena waungwana!?

Wacha wasemeee...Chama cha Mapinduzi kina wenyeweeee!!!
 
Kwa Petrol ni Janga la kidunia ila Busara itumike kwa inapowezekana watu watumie mitungi ya gesi asilia kwenye magari yao
 
Tumeipenda sisi wenyewe wacha ituuueeee.


Nambari one eeeeeeeeeeeee
Nambari oneeeeeeeeeeee

Nambari one ni ccmmmmmmmmmm
Tuwaulize wa mtaa wa kijani huko ngapi? 🏃Tano bila sauti ya mwanakijani ilisikika
 
Tuwaulize wa mtaa wa kijani huko ngapi? [emoji125]Tano bila sauti ya mwanakijani ilisikika
Sasa hivi wanasonya sonya hovyo tu huku macho yao yamekuwa mekundu utadhani wamelazimishwa kubugia pilipili kichaaa
 
SUKARI NA MAFUTA YA KULA UMESAHAU
 
 
Upepo mkali na mvua weekend hii
 
Kinachokuja ni magonjwa ya ajabu na watu kufa ovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…