Iwe ni kwenye gari la umma basi unaweza tamani kushika ili usisikie..Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Sasa msimu wa mvua ndo huo umeanza yaani shikamoo mvua!
Msimu huu ni msimu ambao kwa suala la kufua nguo hua ni mgumu sana.
Sababu inayopelekea kuwa mgumu ni kwakuwa nguo zikifuliwa hazikauki.
Sasa ukutane na mtu aliyevalia nguo hizo huwa harufu yake ni mbaya.
Uvundo huwa unanuka vibaya mno, hapa najua kuna ambao washasikia hizo harufu.
Iwe ni kwenye gari la umma basi unaweza tamani kushika ili usisikie.
Hata maofisini pia unakuta mtu mmekaa nae ananuka kauvundo uvundo.
Uzuri wa JAMII FORUMS kila mtu ana mashine ya kufulia nguo na kukausha 😀😀😀Kwahiyo wanakuchora tuHabari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Sasa msimu wa mvua ndo huo umeanza yaani shikamoo mvua!
Msimu huu ni msimu ambao kwa suala la kufua nguo hua ni mgumu sana.
Sababu inayopelekea kuwa mgumu ni kwakuwa nguo zikifuliwa hazikauki.
Sasa ukutane na mtu aliyevalia nguo hizo huwa harufu yake ni mbaya.
Uvundo huwa unanuka vibaya mno, hapa najua kuna ambao washasikia hizo harufu.
Iwe ni kwenye gari la umma basi unaweza tamani kushika ili usisikie.
Hata maofisini pia unakuta mtu mmekaa nae ananuka kauvundo uvundo.
😂Uzuri wa JAMII FORUMS kila mtu ana mashine ya kufulia nguo na kukausha 😀😀😀Kwahiyo wanakuchora tu
Kweli tena, hata ambao hawana mashine nyumbani nguo zao zinafuliwa huko dry cleaner than 😀😀,na asilimia kubwa wana magari kwahiyo uvundo wanausikia tuu 😀😀😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mashinefake za ID fake labda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mashinefake za ID fake labda
Utapply 10 perfumes rafiki unukie zaidi ya jini.Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Sasa msimu wa mvua ndo huo umeanza yaani shikamoo mvua!
Msimu huu ni msimu ambao kwa suala la kufua nguo hua ni mgumu sana.
Sababu inayopelekea kuwa mgumu ni kwakuwa nguo zikifuliwa hazikauki.
Sasa ukutane na mtu aliyevalia nguo hizo huwa harufu yake ni mbaya.
Uvundo huwa unanuka vibaya mno, hapa najua kuna ambao washasikia hizo harufu.
Iwe ni kwenye gari la umma basi unaweza tamani kushika ili usisikie.
Hata maofisini pia unakuta mtu mmekaa nae ananuka kauvundo uvundo.
Hii ina ukweli?[emoji1787][emoji1787] uvundo hausikii perfume
Basi wapatie mbinu ya kunukia ili wasinuke uvundo😅[emoji1787][emoji1787] uvundo hausikii perfume
Jua likiwaka tabu, mvua ikinyesha tabu vile vile.
Source: watu wa dasalama
kwa dar bora jua tuKwa Dar mvua zina negative impacts nyingi sana kuliko jua