Tujiandae na harufu za uvundo kutokana na nguo kutokukauka

Tujiandae na harufu za uvundo kutokana na nguo kutokukauka

Nimerudi kutoka kwenye mahangaiko viatu vyote Vimeloa aisee. Hizi mvua kwa Dar hazifai.

Barabarani maji kama yote, ukitembea mpaka kinyaa😑
ndo uhustler huo, kaza

huku pahovyo zaidi barabara zote zinakua mifereji😂
 
Nenda drycleaners yoyote iliyopo karibu yako, ongea nao nadhani hawatakuchaji pesa kubwa unaomba tu akuwekee nguo kwenye dryer.
 
Back
Top Bottom