Tujiandae na harufu za uvundo kutokana na nguo kutokukauka

huyo ni wewe na ndio zako hizo.
 
Kama hauna mashine ya kufulia na kukausha nguo bora ukatumia wanaita sjui iron box wazungu (Yaani Pasi kwa sisi wadigo)..
Ukawa unafua unakamua vizuri then unazipiga pasi ili zikauke hii itasaidia
 
Mleta mada tafuta hela kanunue Mashine ya kufulia na inakausha

Ulofa mbaya yaani unaleta hoja ya kimaskini sana humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…