Tujielimishe: Ni Wakati gani polisi walibaini Kuna njama za Ugaidi kwenye kesi ya Mbowe? Ni mwaka 2020 au 2021?

Tujielimishe: Ni Wakati gani polisi walibaini Kuna njama za Ugaidi kwenye kesi ya Mbowe? Ni mwaka 2020 au 2021?

Urio hakuwa na nia yakuwauza....alitekwa issue nikujua nani alivujisha mpango wa Mbowe kuwa na walinzi kuna dhana tofauti huenda Urio anaurafiki na mapolisi so ktk ile kupiga story akasema Mbowe anataka walinzi na mapolisi yaikuwa yanataka vyeo kwa Jiwe so wakaanzia hapo nawaza tu
Ni kweli mwenendo ubaonesha Urio hana kosa na wala hakuwa na nia mbaya kabisa. Baada ya kuwekwa mtu kati kati ya mbao mbili huku na huku akalazimishwe iwe kesi
 
Hao makomandoo nikwamba walikuwa wanamlinda Lissu na Mbowe kipindi cha kampeni, sasa serikali haikupenda ndo mana ikatengeneza kesi ya mchongo ili tu iwaweke ndani

Nimekuwa na dhana hii siku zote! Urio alikuwa akitumika na serikali kuwaingiza matatizoni makomandoo kwa kudhaniwa kuwa walikuwa wanahusika na mambo ya Kibiti ambayo serikali ilizuia habari zake kuzungumzwa. Ni katika shughuli hii ilipojulikana kuwa kumbe hawa makomandoo wako kwa Mbowe pia! La sivyo haiwezekani mleta taarifa anyang’anywe simu zake za kuwasiliana na Mbowe na huku polisi hawafanyi kitu kingine kuhusu Mbowe! Yaani Polisi haina ushahidi wake binafasi ya uratibu wa Mbowe isipokuwa wa Urio tu ambaye sasa walimkosesha hata namna ya kuwasiliana na Mbowe ili wajua plan B, C na D baada ya plan A kushindwa!!!

Urio alikuwa sehemu ya dola kuumiza makomandoo!! Mbowe ni collateral damage!
 
Hapo namba mbili umesema watuhumiwa watatu baada ya kukamatwa na kutoa maelezo walifikishwa mahakamani, ni mahakama gani hiyo walifikishwa?

Navyojua hao jamaa waliwekwa jela muda wote huo na wangeendelea kukaa huko zaidi kama Mbowe asingelazimisha kwenda Mwanza kwaajili ya kongamano la kudai Katiba Mpya.

Hao watuhumiwa hawakuwa na tofauti na watuhumiwa wengine waliojazwa kwenye magereza mbalimbali nchini wakituhumiwa ugaidi bila kufikishwa mahakamani.

Ndio ukweli! Mashehe na makomandoo kulikuwa na jambo dhidi yao, kukamatwa kwa Mbowe ndio ilikuwa game changer!! Na inaweza kuwa bahati sana kwa hawa makomandoo kushitakiwa pamoja na Mbowe - wana nafasi ya kuachiwa huru sawa na kufungwa. Wenzao hawataona hata kizimba cha mashitaka!!

Utaona walikamatwa na kete za madawa ya kulevya hata hakuna taarifa ya kitaalamu kuyahusu lakini ni kitu kilichoshuhudiwa. Hivi kweli Polisi walishindwa kusema “hayakuwa madawa ya kulevya baada ya uchunguzi”!!?? Ghafla yamepotea katika ushahidi!! Lengo halikuwa haya mambo ya silaha wala madawa - lengo ni kuwapoteza makomandoo wote walio mtaani kama waliondoka jeshini kwa sababu nyingine zaidi ya kustaafu!
 
Hakuna kesi hapo bali ni uonevu mkubwa. Watalipwa kama baba yao, bashite na ndugai. Wako wapi na mbwe mbwe zote?
 
Najua saiz afande swila yuko tuition wanammezesha nondo ila jumatatu akikutana masawal ya bwana kibatala lazima ubongo u collapse na aanze tena dharula zake za kwenda kukata gogo toilet kila mara
 
Hapo namba mbili umesema watuhumiwa watatu baada ya kukamatwa na kutoa maelezo walifikishwa mahakamani, ni mahakama gani hiyo walifikishwa?

Navyojua hao jamaa waliwekwa jela muda wote huo na wangeendelea kukaa huko zaidi kama Mbowe asingelazimisha kwenda Mwanza kwaajili ya kongamano la kudai Katiba Mpya.

Hao watuhumiwa hawakuwa na tofauti na watuhumiwa wengine waliojazwa kwenye magereza mbalimbali nchini wakituhumiwa ugaidi bila kufikishwa mahakamani.
Kweli Mungu alitimiza kusudi lake hapo hawa vijana wangeteseka sana maabusu,
 
Hapo namba mbili umesema watuhumiwa watatu baada ya kukamatwa na kutoa maelezo walifikishwa mahakamani, ni mahakama gani hiyo walifikishwa?

Navyojua hao jamaa waliwekwa jela muda wote huo na wangeendelea kukaa huko zaidi kama Mbowe asingelazimisha kwenda Mwanza kwaajili ya kongamano la kudai Katiba Mpya.

Hao watuhumiwa hawakuwa na tofauti na watuhumiwa wengine waliojazwa kwenye magereza mbalimbali nchini wakituhumiwa ugaidi bila kufikishwa mahakamani.
Hakuna mtu anaweza kuwekwa gerezani bila kupitia (kufikishwa)mahakamani
 
Wale makomandoo walionekana wakati wa kumpokea Tundu Lissu wakifanya ulinzi na pia walionekana wakati wa kampeni za uchaguzi wakifanya ulinzi.

Sasa watu wenye vichwa vya panzi wakaanza kujiuliza kwanini chadema wanawatumia wanajeshi wastaafu kama walinzi wa viongozi wao. Issue ikawafikia mapolisi amboa akili zao hazijahi hata kwenye kisoda.

Wakakulupuka kwenda kuwakamata na kuwahoji kwa mateso makali wakitaka kujua wamefikaje chadema. Wakaambiwa Urio ndio amewaunganisha kwa kazi ya ulinzi ya viongozi wa chadema. Polisi walifahama hapa hakuna kesi na ndio maana hao makomandoo mwanzo kabisa hawakufunguliwa kesi ya ugaidi na ndio maana hata Mbowe hawakumgusa

Mbowe alipoanza mambo ya katiba mpya na mama kusema hiyo ni chokochoko na kuonekana hataki kabisa mambo ya katiba mpya. Mbowe alikahidi kauli ya mama na kuendelea na kampeni ya katiba mpya. Baada ya hapo ndipo walipoanza mikakati ya kumtia adabu Mbowe na kwa bahatia mbaya wakakulupuka na kumfungulia kesi ya ugaidi bila ya kujipanga vizuri.
Wewe una akili, kuna vinyamkera vingine hapa hawaelewi namba wala sarufi
 
Hao makomandoo nikwamba walikuwa wanamlinda Lissu na Mbowe kipindi cha kampeni, sasa serikali haikupenda ndo mana ikatengeneza kesi ya mchongo ili tu iwaweke ndani
Ukisoma vizuri maelezo ya Inspekta Swilla kuhusu Makomandoo kukamtwa na kuwekwa mahabusu Polisi Dar es salaam, utathibitisha maneno yako kuwa ya kweli zaidi. Swilla anasema kitendo cha Walinzi wa Mbowe kuwekwa ndani na yeye binafsi kuacha kwenda Polisi kuwaona eti kinadhirisha nia ovu aliyokuwa nayo.
Kama Mbowe angekwenda kuwaona mara tu walipofikoshwa Dar na yeye angekamatwa Kwa kuhusishwa nao moja Kwa moja.
 
Urio kokote ulipo hii dhambi itakutafuna ya kuwaingizi wenzio kwenye matatizo
Ndg yang unaambiwa hata urio ni mhanga wa tukio hili zima. Anatoa ushahid akiwa chini ya ulinz. Ameshateswa, ameshaachishwa kaz. Kama hii ni sawa nashindwa hata kumlaum. Anayetafuta wa kulaum aanze na marehem magufuri na sabaya na samia. Hata polis sion pa kuwalaum kwa anayejua nafas zao dhid ya serekali.
 
Unafahamu Urio ndiyo aliwatafuta Mohamed & Adam kuwapa dili la kazi wakati siyo kazi wala nini ni ishikaji gani huo. Yeye asingekubali kuwaingiza wenzake mkenge. Hayo ni malipo ya usaliti wake akome mtu mzima kuwa mnafiki ni kitu kibaya sana.
 
Hakuna chochote kilichokamatwa kinachothibitisha uwepo wa uhalifu. Si kwa mawasiliano Wala kwenye maelezo ya mashahidi.[emoji848][emoji2827]
Mambo yooote ijumaa mbichi na mbivu,tutajua k. tutazika ama tutsafirisha.
 
Unafahamu Urio ndiyo aliwatafuta Mohamed & Adam kuwapa dili la kazi wakati siyo kazi wala nini ni ishikaji gani huo. Yeye asingekubali kuwaingiza wenzake mkenge. Hayo ni malipo ya usaliti wake akome mtu mzima kuwa mnafiki ni kitu kibaya sana.
Kwa mtiririko wa mahakaman uko sahihi. Kwa mtiririko wa nyuma ya pazia urio alianza na nia njema kwa rafik yake mbowe. Urio alikamatwa km mhalifu kama wenzie inaosemekana aliwatafuta kimtego. Za mtaan zinapotufikia kuwa aligeuzwa na serkali kusema aseme aliyosema ndo hapo namwita mhanga wa tukio na si sehem ya mpango ovu wa washitak tangia awali. Unaposkia hata hana tena kibarua na kazin halipwi tang oct 2020. Unaposkia hata gar yake rav 4 iko bond familia ile. Unaposkia anaingia kizimban akiwa mateka. Unaposkia maneno yake ya.. hapa niko huru kusema... bas kuna zaid ya tulichonacho mezan! KUISHI KUTAMU!
 
Back
Top Bottom