Tujifunze Busara za wahenga wetu kwenye ndoa

Tujifunze Busara za wahenga wetu kwenye ndoa

Wazee wa zamani walikuwa wakitoka safari ya siku nyingi walikuwa Hawa fikii nyumbani hapana wanafikia vilabuniii

Kisha Wana mtuma Mtoto apeleke begi nyumbani ili mke ajue mumewe kafika

Kusudi mke aandae mazingira vizuli

Yani Kama mchepuko alisahau car wash, soks,viatu,au suluwali ndani mke aitoe mapemaa isije Leta ugomvi mzito

Ikaleta chuki, ikaleta aibu ya kupigiwa,

na kingine mzee asije akamkosa mkewe kipenzi kisa mpuuzi mmoja aliye lala nae Jana wazee wetu walikuwa na busara bwana

Nakama mzee akigundua kapakaziwa Mtoto na mkewe

alikuwa hampigi mkewe Wala hamfukuzi kwa heshima ya jina lake nandoa na heshima aliyo jijengea mda mlefu

Atakacho kifanya nikumchunguza huyo mtu aliye mpa mimba mkewe

Akisha mjua atamchunguza mkewe nahuyo bwana akiji lidhisha

Kisha kitakacho fuata nikumpenda huyo Mtoto wa nje ya ndoa kuliko watoto wake woote

Lengo.
1)Nikumpa wakati mgumu mkewe kuujua mwisho wa kosa lake utakuaje na kumfanya ajutie na asiludie kufanya vile tena

2)kumfanya baba wa mtoto ahisi wivu wivu ambao utamfanya siku moja aje alopoke

ndipo adeal nae kwanjia ambayo inaweza kuwa fimbo kwa bwana huyo ikiwemo kubadilishana wake Kama ata vutiwa na mkewe pia

kitu ambacho hakiwezekani/nikigumu

Wazee wa zamani ukimchapia mkewe akijua Hana mda wa kumpiga mkewe au kuku winda wewe atakacho fanya atakuchapia mkeo pia

akiona Ina shindikana anakuloga kupitia huyo huyo mkewe au kuku uuwa kupitia mkewe na ndiyo maana walikuwa hawapendi Wana wake wajue wanaijua michezo yao

Mwisho nimalizie kwa kukupa hadithi hii ndogo ya ukweli

Kuna kijana mmoja alikuwa anaitwa medi aliowa mke mzuuli lakini baada ya siku si nyingi akagundua mkewe ana mcheat

Kijana Yule medi baada ya kuvumilia kwa mda mlefu akaamua kumtimua mkewe nyumbani akimaanisha mkewe aludi kwao hamtaki tena kwani nimalaya.

Mkewe kwa kufuata taratibu za kitamaduni akaamua kukimbilia kwa baba mkwe/baba wa kijana au mwowaji au medi mwenyewe

Baba huyo/baba medi alikuwa na wanawake watano na mke wakwanza alikuwa ni mama wa kijana aliye mfukuza mkewe/medi

Baada ya baba kumpokea mkwewe na kumhoji kwa mda mlefu mzee akajilidhisha kwamba chanzo Cha ugomvi ni usaliti

Lakini akaona nivizuli amwite na medi nayeye aje ili amsikilize nayeye ili ajue kile anacho kiamini kipo

Medi akaitwa kwa wazazi baada ya kufika mzee akawa kalisha chini lakini medi alionekana kuwa mkali Sana

nakumwambia baba yake kwamba mzee ukitaka tuvunje mpaka ubaba na mtoto endelea kumtetea huyu mwanamke wangu

Baada ya baba kuona medi mwanaye wa kiume amekuwa mkali saana akamwangalia Kisha akasema

Mwanangu leo nataka nikuonyeshe Nini maana ya ndoa

Mzee/baba medi akawaita wakezake woote watano Kisha akawa hadithia habari za medi na mkewe Kama zilivyo

Kisha akaludia tena kwa sauti ya ukali na yenye hasira akamtazama medi akamwambia

mwanangu leo nataka nikuonyeshe kitu ambacho haujawai kukiona kwenye maisha yako

kitu ambacho nilikificha mda wote Leo nakiweka hadharani huku akimwangalia medi kwa jicho la ukali pamoja na wake zake watano akiwemo na mkewe medi

mzee akasema kwa sauti yenye mamlaka/sauti ya baba natoka hapa nakuja Sasa hivi na asiinuke mtu hata mmoja mkae huyo hivyo mpaka Nije

Mzee akatoka kwa mwendo wa hasira nakuenda upenuni huku akiwa acha wakeze na mwanaye wanashangaa na kujiuliza mbona Leo mzee kachaluka hivi?

Nikipi hicho ambacho anataka kukionyesa?

Baada ya dakika tano mzee akalejea na kuwakuta wake zake wamekaa vilevile

Akamwambia medi nimekwambia leo nataka nikuonyeshe kitu ambacho haujawai kukiona

Sasa Mshike mkono mkeo ludi nyuma hatua tatu kutoka hapo waache hao akina mama hapo hapo

Kinyonge medi akamshika mkono mkewe na kufuata mashariti ya mzee

Baada ya mda mzee akachukua mchanga aliokuwa ameuweka katika kifunga shio Kisha akawa zungushia wake zake

Mduala Yani wao walikuwa ndani ya mduala wa mchanga huo ambao haueleweki ulichanganywa nanini

Kisha aka sema kwa sauti ya ukali huku akimuuliza medi. Je! medi Hawa ni akina Nani kwako?

Medi akajibu nimama zangu baba

Mzee akasema sawa.

Sasa nataka nikuonyeshe Jambo amblo hatamimi nimelichoka

Kisha mzee akachukua fimbo mbichi aliyo kuwa ameiweka kwa Pani akawa hesabu wake zake watano kwa sauti huku akiwa taja mpaka majina yao na ubini wao

Akageuka akawapa mgongo Kisha akasema maneno yasiyo eleweka kwa sauti ya kuno ng'ona

Kisha aka geuka akaichapa aridhi Mala tano sawa na idadi ya wa wake zake/mama zake na medi

Akailaza fimbo chini akaizungushia na mchanga huku akinena maneno ya ajabu ajabu

Kisha akasema kwa ukali nyinyi wake zangu yeyote anaye jua haja wai kuchepuka tangia nimewa owa na ailuke fimbo hii

Na utaanza wewe mkubwa huku akimnyoshea kidole mama medi

Mama medi kwa unyonge na upole Sana akainuka nakumpigia magoti baba medi huku akisema mume wangu nisamehe siwezi kuiluka fimbo hiyo

Wapili watatu mpaka watano walikataa katakata kuiluka fimbo Ile

Kwa maana hiyo wote walikuwa wamewai kumsaliti mzee

Mzee akasema medi umeona?

Medi akasema ndiyo mzee wangu

Akasema mpaka mama yako alichepuka Mimi najua Hilo lakini nimevumilia mpaka umekuwa

Sasa je nimfukuze mama yako hapa nyumbani?

Medi akajibu hapana baba msamehe

Mzee akasema nitamsamehe Kama utaniambia umemsamehe mkeo

Baada ya kufikilia kwa mda kidogo medi akamshika mkono mkewe nakumwambia nimekusamehe mke wangu twende nyumbani

Mzee akasema mwanangu usiondoke nataka niongee nawewe ndani

Baada ya medi kumfuata ndani mzee aka mwambia umeona Mambo haya yalivyo?

Medi akajibu ndiyo

Kisha akamwambia ilefimbo ni ni fimbo ya mbaazi iliyo tolewa maganda yake

Naule mchanga nimchanganyiko wa udogo na kinyesi Cha kuku kwahiyo pale hakuna dawa niuongo nimewa tishia mama zako

Namimi hapa ndiyo nimejionea kwamba kumbe wake zangu sio waaminifu sikulijua mwanzo

Lakini nimama zako siwezi kuwa acha kwani najua hawata ludia tena

Mchukue mkeo ludi Naye nyumbani mwambie baba amesema yale maneno aliyo kuwa ana yanena amesha kutega tayali ukija kufanya hivyo utanasa

Nenda na mkeo nyumbani

Mwisho

Usitumie nguvu kuishi na mwanamke

Aisee Wazee walikuwa mafala sana!
 
Kwa sasa hakuna huruma kwa mwanamke msaliti
Tofauti ya zamani na Sasa nikwamba wahenga walipo gundua wamechapiwa

Walianza kujiangalia wao Kwanza uhusika wao mpaka kuchapiwa na walipo ujua waliuficha kwa nguvu zote

Lakini Sasa hivi mtu anajijua kabisa anasafiri mwaka mzima hayupo home na bado akichapiwa ana mchinja mke

Anajua kabisa kwamba akikaa dakika 5 pale juu yeye kidume/ninyingi wakati huo huo ana jua Kuna akina killing machine ni 40 minutes tupo juu
Lakini bado akichapiwa ana Waka hasira na kuishia jera

wazee wa zamani akigundua hazai aliokuwa tayali amtume ndogo wake wa kiume aliye toka Naye tumbo moja alale na mkewe apate mtoto na ili Baki kuwa Siri

tatinikwamba wanaume siku hizi hatujichunguzi na kuya fanyia kazi madhaifu yetu kabla hatuja wahukumu wake zetu
 
Wacha ufala...
Hizi sio enzi za medi
Hivi unajua kwamba kumfuma mkeo na mwanaume na kumweka hadharani

Tafsiri yake nikuwaambia watu kwamba hujui kuchenga?

Nakinyume chake ni kuu sitili udhaifu wako?
 
Huku Tanga uziguani hatutaki longo longo, mtu akitembea na mkeo fasta tu unamtegea usinga Kisha unamtegea tego itakayomfanya mgoni wako asile Wala asilale Hadi akaukomboe huo usinga.
Masaa matatu mengi ameshaharisha utumbo wake wote.
 
Huo ni ujinga hivi hata kwa akili za kawaida tu wewe unaona watu wa Zamani walikuwa na Akili ?

Hiki cha sasaivi ndo kizazi chenye akili ndomaana unaona hata maendeleo ya kiteknolojia na elimu ni makubwa kwahyo hizo hadithi za ujinga ni kwaajili ya Zama za wajinga na sio kizazi cha maarifa cha wakati huu.
 
Huku Tanga uziguani hatutaki longo longo, mtu akitembea na mkeo fasta tu unamtegea usinga Kisha unamtegea tego itakayomfanya mgoni wako asile Wala asilale Hadi akaukomboe huo usinga.
Masaa matatu mengi ameshaharisha utumbo wake wote.
Af huku vijana Wana sema Mila zetu hawazi taki Kuna wakati naona elimu ya mzungu imekuja kuvitoa ufahamu vichwa timamu mkuu
 
Huo ni ujinga hivi hata kwa akili za kawaida tu wewe unaona watu wa Zamani walikuwa na Akili ?

Hiki cha sasaivi ndo kizazi chenye akili ndomaana unaona hata maendeleo ya kiteknolojia na elimu ni makubwa kwahyo hizo hadithi za ujinga ni kwaajili ya Zama za wajinga na sio kizazi cha maarifa cha wakati huu.
1)Kutengeneza nucrea weapons kwa ajili ya kuuwa watu ndio akili?

2)Kumwaga chemicals baharini na baadae kwenda kununua samaki wa baharini kwa ajiri ya chakula ndio akili?

3)kuongeza makalio,kuvaa mawigi,wanaume kutoboa pua na kulalwa ndio akili?

4)unafika nyumbani badara uzungumze na family uko busy na smart ndiio akili?

5)janaume kuvaa sketi na kunengua mitaani ndio akili na hyo ndio maendeleo mkuu?

Na bado unawaona wahenga wajinga na walikuwa na akili za kijinga

Unawazungumzia Hawa walio pigania Uhuru wako kwa jasho na damu

Lakini wewe hata maandamano ya amani ya chadema unaogopa kwenda😅😅😅
 
Back
Top Bottom