Tujifunze Busara za wahenga wetu kwenye ndoa


Aisee Wazee walikuwa mafala sana!
 
Kwa sasa hakuna huruma kwa mwanamke msaliti
Tofauti ya zamani na Sasa nikwamba wahenga walipo gundua wamechapiwa

Walianza kujiangalia wao Kwanza uhusika wao mpaka kuchapiwa na walipo ujua waliuficha kwa nguvu zote

Lakini Sasa hivi mtu anajijua kabisa anasafiri mwaka mzima hayupo home na bado akichapiwa ana mchinja mke

Anajua kabisa kwamba akikaa dakika 5 pale juu yeye kidume/ninyingi wakati huo huo ana jua Kuna akina killing machine ni 40 minutes tupo juu
Lakini bado akichapiwa ana Waka hasira na kuishia jera

wazee wa zamani akigundua hazai aliokuwa tayali amtume ndogo wake wa kiume aliye toka Naye tumbo moja alale na mkewe apate mtoto na ili Baki kuwa Siri

tatinikwamba wanaume siku hizi hatujichunguzi na kuya fanyia kazi madhaifu yetu kabla hatuja wahukumu wake zetu
 
Wacha ufala...
Hizi sio enzi za medi
Hivi unajua kwamba kumfuma mkeo na mwanaume na kumweka hadharani

Tafsiri yake nikuwaambia watu kwamba hujui kuchenga?

Nakinyume chake ni kuu sitili udhaifu wako?
 
Huku Tanga uziguani hatutaki longo longo, mtu akitembea na mkeo fasta tu unamtegea usinga Kisha unamtegea tego itakayomfanya mgoni wako asile Wala asilale Hadi akaukomboe huo usinga.
Masaa matatu mengi ameshaharisha utumbo wake wote.
 
Huo ni ujinga hivi hata kwa akili za kawaida tu wewe unaona watu wa Zamani walikuwa na Akili ?

Hiki cha sasaivi ndo kizazi chenye akili ndomaana unaona hata maendeleo ya kiteknolojia na elimu ni makubwa kwahyo hizo hadithi za ujinga ni kwaajili ya Zama za wajinga na sio kizazi cha maarifa cha wakati huu.
 
Huku Tanga uziguani hatutaki longo longo, mtu akitembea na mkeo fasta tu unamtegea usinga Kisha unamtegea tego itakayomfanya mgoni wako asile Wala asilale Hadi akaukomboe huo usinga.
Masaa matatu mengi ameshaharisha utumbo wake wote.
Af huku vijana Wana sema Mila zetu hawazi taki Kuna wakati naona elimu ya mzungu imekuja kuvitoa ufahamu vichwa timamu mkuu
 
1)Kutengeneza nucrea weapons kwa ajili ya kuuwa watu ndio akili?

2)Kumwaga chemicals baharini na baadae kwenda kununua samaki wa baharini kwa ajiri ya chakula ndio akili?

3)kuongeza makalio,kuvaa mawigi,wanaume kutoboa pua na kulalwa ndio akili?

4)unafika nyumbani badara uzungumze na family uko busy na smart ndiio akili?

5)janaume kuvaa sketi na kunengua mitaani ndio akili na hyo ndio maendeleo mkuu?

Na bado unawaona wahenga wajinga na walikuwa na akili za kijinga

Unawazungumzia Hawa walio pigania Uhuru wako kwa jasho na damu

Lakini wewe hata maandamano ya amani ya chadema unaogopa kwenda😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…