Villanova tito
Senior Member
- Dec 20, 2016
- 148
- 154
Tujifunze Hatua za Kufata Kabla Hujachimba Kisima cha Kisasa (borehole)
Mawasiliano: 0769 509 666
- Geophysical Survey
Hii ni hatua ya kwanza ya upembuzi yakinifu kujua uwepo wa mikondo ya maji, iko mita ngapi chini na uwezo wake wa uzalishaji wa maji. - Borehole Drilling
Hapa ndipo shughuli nzima ya uchimbaji hufanyika kwa kutumia mitambo. Tunafuata taarifa kutoka kwenye survey. Kwa mfano, kama maji yako mita 100, wachimbaji watachimba hadi mita 100. - PVC Casing
Uwekaji wa bomba maalum la PVC linalosaidia kuchota maji kutoka kwenye miamba pamoja na kulinda kisima kisibomoke. Baada ya kuweka PVC, tunaweka gravel (kokoto maalum) kwa ajili ya kuchuja maji na kuhakikisha yanakuwa safi. - Pump Installation
Hii ni hatua ya kufunga pampu maalum kwa ajili ya kuvuta maji kutoka kisimani kwa matumizi mbalimbali.
Mawasiliano: 0769 509 666