Villanova tito
Senior Member
- Dec 20, 2016
- 148
- 154
Havifiki ukoNdio gharama zifike Bilion??
Nakazia Sanasema bei kwa mita moja ili mtu ajipime anaweza au vinginevyo.
Kama ni Mtanzania hawezi kusema bei! Biashara tuwaachie wahindi, Sisi tuwe madalali na wezi Tu!sema bei kwa mita moja ili mtu ajipime anaweza au vinginevyo.
Kila mkoa una gharama zake Kwa mita sema unapatikana wapi na unachimba MITA ngapisema bei kwa mita moja ili mtu ajipime anaweza au vinginevyo.
Nan akuchimbie kisima Bure ndugu yanguNdio nyie mnaochimba visima bure?
Mita moja 150000 survey 1.2 millionNapatikana kilindi, Tanga. Bei ya survey shngapi? Na kuchimba mita moja shngapi?
Atasema anachimba mita ngap wakati hiyo survey bado haijafanyika?Kila mkoa una gharama zake Kwa mita sema unapatikana wapi na unachimba MITA ngapi
Kagera - Muleba Tshs.ngapi??Kila mkoa una gharama zake Kwa mita sema unapatikana wapi na unachimba MITA ngapi
Heeee? Survey 1.2M? Survey haizidi 400k,pia uchimbaji kwa mita bei hiyo hapana labda kama mchimbaji anapitia mikono ya dalali,, mbona gharama ni simple tu acheni kutisha watuMita moja 150000 survey 1.2 million
Yaani tunatishana haswa,mie nina haja/Nia ya kuchimba ila hizo bei zinakatisha tamaa.....eti survey 1.2 na kuchimba mita 1 ..150,000Heeee? Survey 1.2M? Survey haizidi 400k,pia uchimbaji kwa mita bei hiyo hapana labda kama mchimbaji anapitia mikono ya dalali,, mbona gharama ni simple tu acheni kutisha watu
Samahani, hiyo Survey mnatumia vifaa gani ndiyo ifike 1.2m?Mita moja 150000 survey 1.2 million
Umeweka na udalali mkuu?? Hiyo mita Moja 150,000 nchi nzima (Mkoa wowote)? Mbona ni ucheshi sasaMita moja 150000 survey 1.2 million
😁Mitandaoni bei wanaweka kubwa sana mpaka unajifikiri wanatuonaje