Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 8,119 Reaction score 12,929 Dec 23, 2025 #21 Villanova tito said: Mita moja 150000 survey 1.2 million Click to expand... Bora amani kuliko kisima. Mita 1 hii hii ninayoijua? Wacha ikae. Nilipo, unampa mtu 20k anakupa ramani maji yalipo. Kisha 10000/mita
Villanova tito said: Mita moja 150000 survey 1.2 million Click to expand... Bora amani kuliko kisima. Mita 1 hii hii ninayoijua? Wacha ikae. Nilipo, unampa mtu 20k anakupa ramani maji yalipo. Kisha 10000/mita
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 33,225 Reaction score 83,181 Dec 23, 2025 #22 Sipendi Uchawa said: Bora amani kuliko kisima. Mita 1 hii hii ninayoijua? Wacha ikae. Nilipo, unampa mtu 20k anakupa ramani maji yalipo. Kisha 10000/mita Click to expand... Huku kigamboni ukiwa na million Moja unachimba kisima
Sipendi Uchawa said: Bora amani kuliko kisima. Mita 1 hii hii ninayoijua? Wacha ikae. Nilipo, unampa mtu 20k anakupa ramani maji yalipo. Kisha 10000/mita Click to expand... Huku kigamboni ukiwa na million Moja unachimba kisima
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 8,119 Reaction score 12,929 Dec 23, 2025 #23 Vincenzo Jr said: Huku kigamboni ukiwa na million Moja unachimba kisima Click to expand... Nawaza jamaa wakikuchimbia kisima chenye urefu wa mita 50 tuunatakiwa uwalipe sio chini ya milioni 9
Vincenzo Jr said: Huku kigamboni ukiwa na million Moja unachimba kisima Click to expand... Nawaza jamaa wakikuchimbia kisima chenye urefu wa mita 50 tuunatakiwa uwalipe sio chini ya milioni 9
Jick JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 1,440 Reaction score 2,247 Dec 23, 2025 #24 Ndebile said: Kama ni Mtanzania hawezi kusema bei! Biashara tuwaachie wahindi, Sisi tuwe madalali na wezi Tu! Click to expand... Mpaka sasa mleta mada ni dalali, tena dalali mwenye njaa kalii sana.
Ndebile said: Kama ni Mtanzania hawezi kusema bei! Biashara tuwaachie wahindi, Sisi tuwe madalali na wezi Tu! Click to expand... Mpaka sasa mleta mada ni dalali, tena dalali mwenye njaa kalii sana.
Lech Poznan JF-Expert Member Joined Jul 3, 2025 Posts 783 Reaction score 1,211 Dec 24, 2025 #25 Villanova tito said: Mita moja 150000 survey 1.2 million Click to expand... Mkuu kwani ni lazima kufanya Survey? Utakuta sehemu maji yapo karibu yani ukichimba futi 8 unapata maji, sehemu kama hii kwanini ufanye Survey?
Villanova tito said: Mita moja 150000 survey 1.2 million Click to expand... Mkuu kwani ni lazima kufanya Survey? Utakuta sehemu maji yapo karibu yani ukichimba futi 8 unapata maji, sehemu kama hii kwanini ufanye Survey?