Tujifunze jambo hapa kutoka kwa R. Kelly na P. Diddy

Tujifunze jambo hapa kutoka kwa R. Kelly na P. Diddy

Pesa huwa inatabia ya kuamsha hata tabia zilizo lala na kuzichochea katika ubora wake. Unaweza sema mtu A baada ya kupata hela kawa malaya, kiufupi ni kwamba alikuwa malaya toka tumboni mwa mama yake, ila kutokuwa na hela ule umalaya haukuwa active na tabia zingine
Nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom