Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

Kwaiyo baba akishatengeza future akifa uchungu unapungua?
Kwann uwe na uchungu sana wakati kifo kipo kwa kila mtu? Unakuwa na uchungu wa kawaida tu.

Lkn kama baba kafariki akiwa kaondoka na Kodi ya nyumba, Kodi ya meza (msosi), ada za shule, hela ya mavazi na malazi, kilio chake siyo cha nchi hii.
 
Kwann uwe na uchungu sana wakati kifo kipo kwa kila mtu? Unakuwa na uchungu wa kawaida tu.

Lkn kama baba kafariki akiwa kaondoka na Kodi ya nyumba, Kodi ya meza (msosi), ada za shule, hela ya mavazi na malazi, kilio chake siyo cha nchi hii.
Sio kweli upendo ndo unaosababisha uchungu hayo Mambo mengine na Kwa watu wanao thamini materials kuliko utu
 
Tunazaa wengi halafu wanabaki kichunga kama mifugo ya Kisukuma! Sisi Waafrika ni watu wa ajabu sana. Kuna ki bwana mdogo kikawa kinajisifia mimi nina watoto 15 eti kinanicheka mimi niliyeishia watoto wasiomaliza kiganja kimoja. Nikakauliza wamesoma mpaka la ngapi? Aliyejitahidi kaishia form ya D ya Kiswahili! Kazi kweli kweli!
 
Sio kweli upendo ndo unaosababisha uchungu hayo Mambo mengine na Kwa watu wanao thamini materials kuliko utu
Kifo kinapaswa kuambatana na sherehe za kumtakia marehemu apokelewe vema huko mbinguni, na siyo vilio.

Biblia imeandika "kufa kwangu ni faida, kwa maana kuishi ni kristo".
 
Msiba huo sio wa leo, Huwezi jua walikua na hali gani siku mbili za kwanza.

Hata hivo, Kulia mpaka kushindwa kujicontrol kuongea mbele za watu ni upendo au uwezo mdg wa kukabiliana na matatizo?

This is hiw intellectual must behave.
 
Usicho elewa ni kwamba kila kiumbe Kimeshaandaliwa riziki yake na maisha yake kwa ujumla,mwanadamu hana ujanja wa kujibajetia maisha yake.

Kuna maskini wana watoto kibao na wanaishi wakiwa na afya njema kabisa.

Kuna watu wamekuwa matajiri,wasomi,viongozi wakubwa wakitokea familia duni zisizojiweza zenye watoto wengi hata kula yao ilikuwa shida leo hii walisha sahau mateso ya maisha....mnaona uzungu ni bora kuliko uhalisia wa kiafrika.
 
Wasomi wamepitia Quantitative Analysis na Qualitative Analysis wamekuja na jibu.

Wahenga walisema "Tajiri na mali yake, masikini na watoto".
 
Kwahyo unawashauri maskini ambao hata Kula Yao NI ya shida waoe wake wanne na wazae kama jafo?? Au hujaelewa hata nimeandika nini, nmesema tuzae kulingana na uwezo wetu, kwahyo jafo nae wake alio nao na watoto NI kulingana na kipato chake
kwa hiyo kama kuzaa wawili inapaswa uwe na uwezo kama wa Ndugulile as SI unit unamaanisha sisi wa 1m per month tusizae kabisa au sio?
 
Hata kama ana mmoja, hata kama ana Mia, kikubwa NI WATOTO WAWE NDANI YA UWEZO WAKE, KAMA ANAWEZA KUWATUNZA WOTE KIKAMILIFU NI SAWA
Ainisha uwezo huo kaka usizunguke. Kusomesha watoto abroad kisiwe kigezo cha kupima uzae watoto wangapi.
Na kitu kingine ni kwamba tunaishi kwa mipango ya mbele sana leo nina watoto watatu nipo na 30 years ila mipango yangu ya kiuchumi inaniambia nitakuwa milionea by 48 years vipi nisizae kwa kuogopa kwamba nitashindwa kuwasomesha watoto ambao wengine nikiwa na 49 ndiyo watakuwa secondary schools?
We toa digit ya pesa kwamba ukiwa na hii zaa mtoto mmoja , hii wawili hii watatu ndiyo binafsi nitaona una hoja yenye nguvu.
 
Kulia kujigalagaza ni msiba wa pangu pakavu, unajua kabisa hapa kwenye kikao lazima tuvurugane.
 
Usizae watoto kwa mtazamo wa "Watanisaidia hapo baadaye"

Zaa watoto kwa mtazamo wa "Nitaweza kuwasaidia hapo baadaye?"

Wao kunizaa haukua mpango wangu mkuu...😜
Kunizaa ni matokea ya starehe zao mazee...🀨
Duu! Ngoja kwanza nikimbie πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Tajiri hana muda wa kutosha kuchakata papuchi yuko busy busnesses deals.
 
Kuna nyani fulani ambao wapo kwenye evolution wana msemo wao kwamba kila mtoto huja na sahani yake 🀣🀣🀣🀣🀣😁
 
Watoto wakavu utasema wamefiwa na jirani.
Mimi napenda watoto wangu wanililie na kufanya waombolezaji wajione wapo kwenye msiba siyo kwenye tamasha. Kwani hawataniona tena na heshima iliyokuwepo nyumbani itatoweka tu. Na pesa zitaisha mdogo mdogo.
 
Pumba hizi,
Mliletwa duniani kwa maagizo ya kuzaliana na mkaijaze dunia,kila kona ni mapori hakuna watu unafikiri itajaa lini?
Umewahi kuona mwenye watoto 6 wakafa kwa njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…