Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

Kosa kubwa alilofanya ni ile akili ya MTU mweusi ya kufanya Accumulation bila distribution

Yale maeneo potential yote aliyojimilikisha kigamboni Kama angeamua kutoa ghorofa lake moja akawapa wanafunzi wakaishi bure au akawa na programs maalumu za kuwalipia Ada wanafunzi hata wanafunzi 100 kila mwaka .

Tafsiri sahihi ya utajiri ya MTU mweusi huwa inafikirisha Sana .
No logic
 
Mimi kwetu tumezaliwa 2 wakike tupu
Sometimes huwa natamani ningekua na kaka tubadilishane mawazo au dada mwingine mkubwa
Kwa hili nnalopitia ndo naona bora nami nifikishe hata 4 wasiwe wapweke
Hapa siongelei mambo ya ela!
 
Nipo nacheki hapa msiba WA Ndugulile, kuacha watoto wawili tuu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama sio watanzania.

Lawrence Mafuru nae nadhani aliacha watoto wawili tuu.

Swali kwa makapuku wenzangu, hivi Sisi maskini tunazaa watoto wengi ili iweje? na utakuta pengne hata uwezo wa kuwahudumia tuu kikamilifu kwenye elimu na gharama za kila siku hatuwezi, nini maana ya hii?

Nahis NI vizuri kuzaa watoto kulingana na kipato chako, ambao utawamudu vizuri, utakaowapa elimu ya uhakika sio hii ya kuunga unga.

Sisi maskini tunawaza eti tukizaa watoto wengi ndio hao badae watatusaidia, wewe mzazi somesha mtoto, hudumia kwa kadiri ya uwezo wako maana ni jukumu lako, badae akipata maisha mazuri NI yeye sasa atajua atakusaidiaje, ndio ile utakuta wazazi wananunia wakwe zao wanaona kama wao ndio wanafanya wasipewe pesa na mtoto wao.

Tuzae Kwa mahesabu, utakuta mtu ana watoto wanne, halafu kapanga chumba na sebule, sasa jiulize hapo ndani wanaishije, tuwekeze nguvu kwenye kujenga uchumi Kwanza na kuzaa kwa akili.

View attachment 3167382
Hayo ni matumizi mabaya ya Rasilmali utaratibu ni kuzaa watoto kadri ya mali au uwezo wakiuchumi ulionao sasa yeye watoto 2 kweli!
 
Nime sikiliza watoto wenyewe wakiongea nikasema WTF
 
Tujikite kwenye point, KILA MTU AZAE KULINGANA NA KIPATO CHAKE, hapo ya Ku guess tuachane nayo
Sawa tunajikita kwenye maada mkuu, kila mtu azae kulingana na uwezo wake, je, unataka kutuaminisha kua uwezo wa kipesa wa mafuru ulikua kuzaa watoto wawili tu?

Ungesema kila mtu azae anavyotaka bila kujali uwezo wake kipesa hapo ningekuelewa sana.

Naona kama unajitekenya na kucheka mwenyewe!!!
 
Kosa kubwa alilofanya ni ile akili ya MTU mweusi ya kufanya Accumulation bila distribution

Yale maeneo potential yote aliyojimilikisha kigamboni Kama angeamua kutoa ghorofa lake moja akawapa wanafunzi wakaishi bure au akawa na programs maalumu za kuwalipia Ada wanafunzi hata wanafunzi 100 kila mwaka .

Tafsiri sahihi ya utajiri ya MTU mweusi huwa inafikirisha Sana .
Ni nani alizaa hao watoto unaosema wakaishi bure kwenye gorofa?
 
Nipo nacheki hapa msiba WA Ndugulile, kuacha watoto wawili tuu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama sio watanzania.

Lawrence Mafuru nae nadhani aliacha watoto wawili tuu.

Swali kwa makapuku wenzangu, hivi Sisi maskini tunazaa watoto wengi ili iweje? na utakuta pengne hata uwezo wa kuwahudumia tuu kikamilifu kwenye elimu na gharama za kila siku hatuwezi, nini maana ya hii?

Nahis NI vizuri kuzaa watoto kulingana na kipato chako, ambao utawamudu vizuri, utakaowapa elimu ya uhakika sio hii ya kuunga unga.

Sisi maskini tunawaza eti tukizaa watoto wengi ndio hao badae watatusaidia, wewe mzazi somesha mtoto, hudumia kwa kadiri ya uwezo wako maana ni jukumu lako, badae akipata maisha mazuri NI yeye sasa atajua atakusaidiaje, ndio ile utakuta wazazi wananunia wakwe zao wanaona kama wao ndio wanafanya wasipewe pesa na mtoto wao.

Tuzae Kwa mahesabu, utakuta mtu ana watoto wanne, halafu kapanga chumba na sebule, sasa jiulize hapo ndani wanaishije, tuwekeze nguvu kwenye kujenga uchumi Kwanza na kuzaa kwa akili.

View attachment 3167382
Utakuta zuzu limezaa watoto 10 halafu halina hata kazi wala kipato cha kueleweka .
Upuuzi
 
Sawa tunajikita kwenye maada mkuu, kila mtu azae kulingana na uwezo wake, je, unataka kutuaminisha kua uwezo wa kipesa wa mafuru ulikua kuzaa watoto wawili tu?

Ungesema kila mtu azae anavyotaka bila kujali uwezo wake kipesa hapo ningekuelewa sana.

Naona kama unajitekenya na kucheka mwenyewe!!!
Jitahidi kuelewa hoja
 
Nipo nacheki hapa msiba WA Ndugulile, kuacha watoto wawili tuu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama sio watanzania.

Lawrence Mafuru nae nadhani aliacha watoto wawili tuu.

Swali kwa makapuku wenzangu, hivi Sisi maskini tunazaa watoto wengi ili iweje? na utakuta pengne hata uwezo wa kuwahudumia tuu kikamilifu kwenye elimu na gharama za kila siku hatuwezi, nini maana ya hii?

Nahis NI vizuri kuzaa watoto kulingana na kipato chako, ambao utawamudu vizuri, utakaowapa elimu ya uhakika sio hii ya kuunga unga.

Sisi maskini tunawaza eti tukizaa watoto wengi ndio hao badae watatusaidia, wewe mzazi somesha mtoto, hudumia kwa kadiri ya uwezo wako maana ni jukumu lako, badae akipata maisha mazuri NI yeye sasa atajua atakusaidiaje, ndio ile utakuta wazazi wananunia wakwe zao wanaona kama wao ndio wanafanya wasipewe pesa na mtoto wao.

Tuzae Kwa mahesabu, utakuta mtu ana watoto wanne, halafu kapanga chumba na sebule, sasa jiulize hapo ndani wanaishije, tuwekeze nguvu kwenye kujenga uchumi Kwanza na kuzaa kwa akili.

View attachment 3167382
Dah nomah sana, nilikuwa nataka watoto watatu lakini mwenzangu hesabu yake ni Tano sa nikisema nilete Undugulile si nitalea shahaw* za wahuni😢😥
 
Tukianza kujilinganisha na Ndugulile na Mafuru utaona watu wengi hawàna sifa ya kuwa háta na nusu mtoto!
Siyo kweli kwamba hao wawili wanawakilisha wenye hela wote kuwa nà watoto wawili wawili.
Hao ni uzembe wao tuu mbona husemi waziri Jafo mwenye wake wanne na watoto lukuki?
Nchengerwa, Awesu, Hafidh nk wana hela na wana wake zaidi ya mmoja?
Unadhani hawa hawamjui Ndugulile, au Mafuru?
Hao wana kipato na resources za kuhakikisha malezi na future za watoto wao hata ikitokea emergency wametoweka duniani .
Wewe na kazi yako hiyo ya ukuli kwa wahindi ,ulivyo zoba umezaa watoto kumi
Elewa mada wewe zwazwa
 
Wengi wameigiza wazungu bila kujua kuwa kuna aina nyingine za wazungu wanazaa hadi kumi na ushei. Nenda Marekani au Kanada uone wamenonnite na wajerumani wanavyofyatua watoto usiku na mchana utajua nisemacho kwa wale waliowahi kuishi katika nchi hizi.
 
Dah nomah sana, nilikuwa nataka watoto watatu lakini mwenzangu hesabu yake ni Tano sa nikisema nilete Undugulile si nitalea shahaw* za wahuni😢😥
Kama Una uwezo WA kuzaa WA5 sawa, ila kama huna uwezo utasaidiwa kulea
 
Wengi wameigiza wazungu bila kujua kuwa kuna aina nyingine za wazungu wanazaa hadi kumi na ushei. Nenda Marekani au Kanada uone wamenonnite na wajerumani wanavyofyatua watoto usiku na mchana utajua nisemacho kwa wale waliowahi kuishi katika nchi hizi.
Hapo NI sawa, si Wana uwezo WA kuwalea? Hata wazae watoto 100, kama wanauwezo nao sawa, Mimi nawapinga wale njaa kali halafu Wana watoto kama utitiri
 
Back
Top Bottom