Tujifunze kuachana na ma Ex wetu vizuri

Tujifunze kuachana na ma Ex wetu vizuri

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Leo nimeamka nikiwa sina hata mia mbovu mfukoni,kila mshikaji niliyekua namuomba aniazime hata elfu 10 tu wote wakawa wananikataa.nikapekua simu yangu nikakuta jina la ex wangu ofcoz huyu dada tuliachana tu coz ya harakati za maisha na huwa tunachat mara moja moja tu kupeana salamu na vitu kama hivyo.nikajisemea ngoja nimtest huyu aniazime kama laki 2 hivi,aise dada wa watu hata hakua na maswali mengi alichoniuliza tu ni kuwa nikutumie kwenye number ipi?kwa kweli pesa nishatumiwa na hapa nilipo nipo nakarangiza mahanjumati ghetto,nimepata funzo kuwa karne hii ya 21 hakuna haja ya kuachana na mtu kwa maugomvi,bila huyu dada kuokoa jahazi leo ningeshinda na njaa aisee.
 
Muoe sasa
 
Ni sahihi..... mkitofautiana haina haja ya kutoleana maneno mengi,hii Dunia ndogo sana huwezi jua atakayekusaidia kesho......
 
Wanapew

Wanapewaga watoto kaka au kama unaumwa pengine.. Sasa wewe mtu mzima unapewa hela na mwanamke unachekelea eti nakarangiza mahanjumati. karangiza baba demu wako yupo job
Mbona unajiuliza then unajijibu mwenyewe una accounts ngapi kwani?
 
Uzi wa pili huu nauona wa mrengo huu!! Hii ni kampeni au?

Kwakweli mie ni kwa yule tu aliyekuwa mwema kwangu na nikala vyake pia. Lasivyo SINA.
 
Leo nimeamka nikiwa sina hata mia mbovu mfukoni,kila mshikaji niliyekua namuomba aniazime hata elfu 10 tu wote wakawa wananikataa.nikapekua simu yangu nikakuta jina la ex wangu ofcoz huyu dada tuliachana tu coz ya harakati za maisha na huwa tunachat mara moja moja tu kupeana salamu na vitu kama hivyo.nikajisemea ngoja nimtest huyu aniazime kama laki 2 hivi,aise dada wa watu hata hakua na maswali mengi alichoniuliza tu ni kuwa nikutumie kwenye number ipi?kwa kweli pesa nishatumiwa na hapa nilipo nipo nakarangiza mahanjumati ghetto,nimepata funzo kuwa karne hii ya 21 hakuna haja ya kuachana na mtu kwa maugomvi,bila huyu dada kuokoa jahazi leo ningeshinda na njaa aisee.
Ulipe hela ya watu sasa.

Usije ukaanza kuleta janja janja kwasababu mlikuwa na mahusiano zamani.

Nina mdg wangu alimpatia x wake pesa akaanza kujizungusha kwenye kuirejesha. Dogo akamtishia kumshtaki kwa boss wake...

Doh..alichojibu binti sasa... " sawa nenda ila kumbuka tulikuwa wapenzi".

Dogo akawa mdogo kama piriton [emoji2]
 
Uzi wa pili huu nauona wa mrengo huu!! Hii ni kampeni au?

Kwakweli mie ni kwa yule tu aliyekuwa mwema kwangu na nikala vyake pia. Lasivyo SINA.
Ubaya haulipwi kwa ubaya, unalipwa kwa wema.

Mpende adui yako.
 
Back
Top Bottom