Sijatukana ndugu, ila nadhani hujui kua kuna kitu kinaitwa Sheria za uchaguzi!Jibu hoja siyo matusi
Akienguliwa Minja kwa kosa la picha ni sawa ila akiguswa mwingine taaaabu.Nani alivuruga uchaguzi serikali za mitaa na kuonyesha kuwa wapinzani hawajui kusoma na kuandika.Leo wasimamizi wanaongeza digit kwenye namba za simu za wadhamini na wamawaengua hapo hapo.Nisingependa JPM aenguliwe ili hili liwe ni fundisho,kwa somo kunaliwa na kwa kungwi vilevileTukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana............
Ujinga mtupu ,ivi nawewe una mke ?? Kuna wanawake wameolewa na Vilaza sana.Tukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana.
Mfano kabla ya tarehe 25 August, ukipita mitandao ya kijamii kulikuwa na mtifuano juu ya kilichoitwa kufanya kampeni kabla ya wakati. Hili lilifikia wakati watu wengi tukasema kama ni kweli Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA hatapitishwa na NEC!! Jana tumeona akipitishwa kwa kishindo!! Je ,kwa nini NEC ilikaa kimya kiasi kile mpaka mh Mbowe akaingiwa na hofu kwa kusema eti kuna njama za kumuengu TL.? Hii no weakness ya Tume yetu...?
Tukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana....
Tukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana..
Utopolo mtupu, mbona meko hajawahi kukemea mauaji ya wapinzani,uporaji wa fomu, ununuzi wa madiwani.Nonsense!
Nimemsikiliza .Ujinga mtupu ,ivi nawewe una mke ?? Kuna wanawake wameolewa na Vilaza sana...
Hoja ya mpumbavu hujibiwa kipumbavu.Jibu hoja siyo matusi
Naona CCM mmeanza kuomba pooooo ππππ. Kweli Lissu Habari ingine πππTukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana.
Mfano kabla ya tarehe 25 August, ukipita mitandao ya kijamii kulikuwa na mtifuano juu ya kilichoitwa kufanya kampeni kabla ya wakati. Hili lilifikia wakati watu wengi tukasema kama ni kweli Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA hatapitishwa na NEC!! Jana tumeona akipitishwa kwa kishindo!! Je ,kwa nini NEC ilikaa kimya kiasi kile mpaka mh Mbowe akaingiwa na hofu kwa kusema eti kuna njama za kumuengu TL.? Hii no weakness ya Tume yetu...
Waliomuwekea pingamizi ujue wana hizo fomu. Wewe unaona mapichapicha tu.Hivi anaposema Jpm hajaweka passport hii hapa Nini, [emoji116][emoji116]
View attachment 1549063
Akikujibu nitagg πππUtopolo mtupu,mbona meko hajawahi kukemea mauaji ya wapinzani,uporaji wa fomu,ununuzi wa madiwani.
Tulieni dawa iwaingie uchaguzi huu sio wa kuoneana,ukiweka jiwe,tunaweka taramuni yani ni [emoji91][emoji91]
Leo CCM wanaomba poooo ππππMtenda akitendwa hujihisi kaonewa. Imekuuma rais kuwekewa pingamizi. Uchaguzi wa SM z mitaa ccm ilitangazwa kushinda kwa 90%+ kwa tabia hizi hizi, na ulikaa kimya. Hivi sasa ccm ina wabunge 15+ na wote hao wamepita kwa njia hizi hizi zinazokuliza hapa. Tumekuwa tukisema sheria za kipuuzi hazina afya kwa nchi yetu ila mlikuwa kimya. Leo mpenzi mkubwa wa siasa za kupita bila kupingwa, kakutana na yale yale yaliyokuwa yanamfanya ashinde hata alipokuwa mbunge. Haya sasa puuzeni hizo sheria zenu za kupuuzi muwe wazi peupe kuwa sio wafuata sheria.
Kwan Lissu kasemaje? Mimi ni Mtanzania ninayesaidiwa Masuala ya Sheria.N
Nimemsikiliza .
Jibu maswali haya f
Yafutaho:
1.form,wadhamini ,zitakaguliwa na Tume ya uchaguzi wapi? Makao makuu au wapi?maana ofisi ya wakurugenzi ni wasaidizi wa Tume ya u uchaguzi hivyo ni tume ya uchaguzi.
Kwani hiyo inayoonekana hapo ni nini?Waliomuwekea pingamizi ujue wana hizo fomu. Wewe unaona mapichapicha tu.
Ccm ndiyo wachokoziTukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana...