Uchaguzi 2020 Tujifunze kufanya siasa za kistaarabu bila kukomoana

Uchaguzi 2020 Tujifunze kufanya siasa za kistaarabu bila kukomoana

Mbona hukulalamika hivi wagombea wengine wakienguliwa kisa passport, kesi za kubumba, Tulia sheria ifate mkondo wake. Halafu mh Rais hajazalilishwa ni utaratibu wa kawaida, calm down.
 
Tukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana..
Hahahahaaaa, tatizo la mgombea wenu kalewa sana madaraka kiasi anaamini Urais ni kila kitu, hajisumbui hata kuzielewa kanuni rahisi tu za Uchaguzi..

Kwa unyama aliomtendea Lissu wacha tu aanikwe uzumbukuku wake
 
Pingamizi angewekewa lissu ingekuwa shida mtandaoni yeye alikuwa analialia mpaka anatumia wanasheria wa nje ili apite bila kupigwa lakini yeye sasa kaota mapembe kaenda kupinga as if hana makosa ........ngoja uchaguzi uishe tukutane kisutu
 
Hivi anaposema Jpm hajaweka passport hii hapa Nini, [emoji116][emoji116]
View attachment 1549063
Iangalie hiyo picha vizur..

Izooom

Hiyo picha siyo 'passport size' inayotumika kwenye pasi za kusafiria.
Hiyo picha inamwonesha toka maeneo juu ya kiuno, kifua mpaka uso mzima, hivyo haiko katika 'format' ya 'passport size'
Hii ndiyo hoja ya Lissu, kwamba picha ipo lakini si 'passport size' kama inavyotakiwa kisheria
 
Sheria, kanuni na utekelezaji wake ni wa kijingajinga.

Tubadilishe, tulenge kupata viongozi kupitia sanduku la kura.

Huu ujinga uliohalalishwa kisheria uondolewe.
 
Back
Top Bottom