Tujifunze kuishi na watu vizuri maisha yana siri na fumbo zito

Tujifunze kuishi na watu vizuri maisha yana siri na fumbo zito

Mama Mwana

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2023
Posts
2,510
Reaction score
8,018
Hellow guys!!

I hope y'all doing well, and all is well, nimetoka kwenye usingizi wa kifo, i mean nilikua nimelazwa kwa wiki ya pili bila kujitambua, ilikua ghafla sana ilikua hivi

nimeamka siku moja nahisi kumichwa kuumwa,kizunguzungu kikali, natapika vitu vichungu good enough nilikua nimepita kumsabah b mkubwa na wajukuu wakamsalimie.

mama: una shida gn au una mimba unajitia kujutapisha? mimi: wala sina mimba na sina haja ya kukuficha ila tu siko sawa, nikamwambia ngojea nikimbie hapo maabara nikachek malaria na mkojo, mbiombio nafika napima sina malaria sina uti sina mimba. Narud home mama: nenda hospital nikamuachia watoto mbio kwa full check up nakutwa tu nna some infections kwenye dam napewa antibiotics narud home.

Mama anauliza mbona mmekuja bila taarifa n kwema mm tena kwema kwan tumeua haturuhusiwi kuja makwetu tukiolewa?? hapana haya karibun hajambo mwenzio, mimi hajambo kasafiri kaenda shamba tumekuja malizia leave na watoto,bas nikala nikaingia room kwangu usiku uneingia tukalala.

Usiku nikawa nachemka sana natapika kila nilichokula nikasema hii nn kumekucha najitahidi na hizo dawa,siku iliofatia nimeshinda hali tete mama kapika ndizi za nyama nikasema leo nitakula niftuke tumbo kumbe homa inaniambia tulia mwanaharamu we,skujua kilichoendelea tena nimekuja stuka nipo hospital nimezungukwa na watu,nikahamishwa wodi kule napo ndio ikawa tafran balaa tele simjui anayeingia wala anaetoka,nimekaa kwenye koma kwa muda wa wiki mbili nashukuru nimeruhusiwa jana.

Moral of the story, tuishi na watu vizur, ongea na watu wote sikuwah kuwaza nna watu wananipenda jaman yan ile nimekuja kupata faham dah kweli mama mwana una watu coz mtu kuvunja muda wake tangu asbh kuja kukusubiri uamke angalau uongee i was speechless

Nawapenda and still recovering!!
 
Hellow guys!!

I hope y'all doing well, and all is well, nimetoka kwenye usingizi wa kifo, i mean nilikua nimelazwa kwa wiki ya pili bila kujitambua, ilikua ghafla sana ilikua hivi

nimeamka siku moja nahisi kumichwa kuumwa,kizunguzungu kikali, natapika vitu vichungu good enough nilikua nimepita kumsabah b mkubwa na wajukuu wakamsalimie.

mama: una shida gn au una mimba unajitia kujutapisha? mimi: wala sina mimba na sina haja ya kukuficha ila tu siko sawa, nikamwambia ngojea nikimbie hapo maabara nikachek malaria na mkojo, mbiombio nafika napima sina malaria sina uti sina mimba. Narud home mama: nenda hospital nikamuachia watoto mbio kwa full check up nakutwa tu nna some infections kwenye dam napewa antibiotics narud home.
mama anauliza mbona mmekuja bila taarifa n kwema mm tena kwema kwan tumeua haturuhusiwi kuja makwetu tukiolewa?? hapana haya karibun hajambo mwenzio, mimi hajambo kasafiri kaenda shamba tumekuja malizia leave na watoto,bas nikala nikaingia room kwangu usiku uneingia tukalala.

usiku nikawa nachemka sana natapika kila nilichokula nikasema hii nn kumekucha najitahidi na hizo dawa,siku iliofatia nimeshinda hali tete mama kapika ndizi za nyama nikasema leo nitakula niftuke tumbo kumbe homa inaniambia tulia mwanaharamu we,skujua kilichoendelea tena nimekuja stuka nipo hospital nimezungukwa na watu,nikahamishwa wodi kule napo ndio ikawa tafran balaa tele simjui anayeingia wala anaetoka,nimekaa kwenye koma kwa muda wa wiki mbili nashukuru nimeruhusiwa jana.

moral of the story, tuishi na watu vizur, ongea na watu wote sikuwah kuwaza nna watu wananipenda jaman yan ile nimekuja kupata faham dah kweli mama mwana una watu coz mtu kuvunja muda wake tangu asbh kuja kukusubiri uamke angalau uongee i was speechless

nawapenda and still recovering!!
Pole sana, Mungu akufanyie wepesi.
 
Kuishi vizuri na watu ni Jambo ambalo halihusiani na kuumwa au kupata shida bali ni namna ambavyo kama binadamu inabidi tuishi, ukiishi na watu vizuri kwa sababu unategemea uje kutembelewa ukiumwa au ukiwa na matatizo then hilo ni tatizo. By the way pole kwa changamoto ya afya.
 
sjawah kuumwa in such a way kama nilivyokuwa, imekua ghafla sana sjawah umwa nikalazwa n homa za kawaida unaishia zako, unaumwa serious unakuja kukuta watu ambao sikutegemea na pia sikujua pia kuna watu wapo me naamka n dokta dokta ameamka
 
Pole, sana ndomana ktk Maisha yangu huwa naheshimu watu wote na kuwapenda Japo kinafiki maana Binadamu wanafki sana
circle yangu n too small halaf nilivyo n veree selective sasa kukuta watu ambao mnasalimiana tu hi uko poa, hujambo huko hii imenifikirisha kidogo
 
Back
Top Bottom