Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,510
- 8,018
- Thread starter
- #21
tena weee ndio umeniuliza kuhusu kanula yangu eehPole nami nilikuja.

Ni mimi huyoo🥰tena weee ndio umeniuliza kuhusu kanula yangu eeh
yan shukran sana, nimekua nikisema kama skuondoka hizo wiki kwa kweli bado nina safar ndefu na kama nimepewa alert ya kutafakar maishaMama Mwana bado Israeli hajakuhitaji,Pongezi kwako.
haya bwanaNi mimi huyoo🥰
santeeeHongera kwa kupata nafuu
asante mama, shukranPole Mama Mwana na hongera
aamyn, thank yuhPole sana, Mungu akufanyie wepesi.
Hellow guys!!
I hope y'all doing well, and all is well, nimetoka kwenye usingizi wa kifo, i mean nilikua nimelazwa kwa wiki ya pili bila kujitambua, ilikua ghafla sana ilikua hivi
nimeamka siku moja nahisi kumichwa kuumwa,kizunguzungu kikali, natapika vitu vichungu good enough nilikua nimepita kumsabah b mkubwa na wajukuu wakamsalimie.
mama: una shida gn au una mimba unajitia kujutapisha? mimi: wala sina mimba na sina haja ya kukuficha ila tu siko sawa, nikamwambia ngojea nikimbie hapo maabara nikachek malaria na mkojo, mbiombio nafika napima sina malaria sina uti sina mimba. Narud home mama: nenda hospital nikamuachia watoto mbio kwa full check up nakutwa tu nna some infections kwenye dam napewa antibiotics narud home.
Mama anauliza mbona mmekuja bila taarifa n kwema mm tena kwema kwan tumeua haturuhusiwi kuja makwetu tukiolewa?? hapana haya karibun hajambo mwenzio, mimi hajambo kasafiri kaenda shamba tumekuja malizia leave na watoto,bas nikala nikaingia room kwangu usiku uneingia tukalala.
Usiku nikawa nachemka sana natapika kila nilichokula nikasema hii nn kumekucha najitahidi na hizo dawa,siku iliofatia nimeshinda hali tete mama kapika ndizi za nyama nikasema leo nitakula niftuke tumbo kumbe homa inaniambia tulia mwanaharamu we,skujua kilichoendelea tena nimekuja stuka nipo hospital nimezungukwa na watu,nikahamishwa wodi kule napo ndio ikawa tafran balaa tele simjui anayeingia wala anaetoka,nimekaa kwenye koma kwa muda wa wiki mbili nashukuru nimeruhusiwa jana.
Moral of the story, tuishi na watu vizur, ongea na watu wote sikuwah kuwaza nna watu wananipenda jaman yan ile nimekuja kupata faham dah kweli mama mwana una watu coz mtu kuvunja muda wake tangu asbh kuja kukusubiri uamke angalau uongee i was speechless
Nawapenda and still recovering!!
Nimependa unavyosimulia kama masihara.Hellow guys!!

nimekuelewa Kwa taabu saana, vingereza vingi mama.Hellow guys!!

Ni kweli kaa na watu vizur lakin muhim kaa na Mungu vizur watu ukiwa hospital mwanzon wanakuja kama wote. Ngoja ukae hapo miez kadhaa utajikuta anaekuja ni mumeo au mkeo tu. Watu hawaaminiki. Ni Yesu pekee anaekuja kuwa mfariji wako mwishon unapofikiq hatua ngumu.Hellow guys!!