Tujifunze Kukataliwa!

Tujifunze Kukataliwa!

tataizo hawa viumbe hawakukatai mwanzoni. wanakula hela zako ndio shida ilipo
Kaka kosa ni pale tunapotanguliza pesa kama ndio njia ya kumnasa mrembo,hawezi kataa hela mkuu....badilisha mbinu za kivita,kwakufanya hivyo utajua mbivu na mbichi
 
We jamaa uko kama mimi. Mimi sikumbuki mara ya mwisho kutongoza mwanamke ilikua mwaka gani? Na kwavile sitongozi, sina kumbu kumbu ya kuwahi kukataliwa.

Mimi nikivutiwa nachukua contact, naanza kujenga mazoea huku nasoma upepo. Ni rahisi sana kumgundua mwanamke ambae hayuko interested. Nikiona haeleweki napunguza mawasiliano nahamishia nguvu kwingine maisha yanaendelea. Mara nyingine utashangaa mwanamke ukimpunguzia mawasiliano yeye anaanza kukutafuta mwisho unamtafuna kirahisi tu.
Sahii kabisa,
Ukiona upepo sio wenyewe,
Unajikataa zako mapema Sana.
 
Sahihi, unakuta anakukataa ila anakuombea usiende kumtongza mwingn ili uendelee kumlazimisha yeye tu hali ya kuwa hana mpango wa kukukubali

Kwahy tunaishi humo akizingua unamkaushia tu jumla kiroho safi
 
Any relationship ni future assets ni hazina ya baadae japo inauma lakini utakiwi kufanya action yeyeto ukizidiwa na maumivu inashauriwa hama eneo au mkoa ukareflesh. Wapo watu wengi sana wamepewa connection za maisha na ma ex wao. Yupo boss mmoja ni mkuu wa idara nyeti alikuwa ni kiportable cha jamaa aliyekuwa swahiba wa jiwe jamaa akampigia pande kwa jiwe leo ni mkurugenzi sababu ya kuishi vyema. Ex hawezi kukutupa au kukunyima connection usitazame leo, maumivu ya jana ndio furaha ya kesho. So nawashauri msifanyiane ubaya akikuacha mtu.
 
Kaka kosa ni pale tunapotanguliza pesa kama ndio njia ya kumnasa mrembo,hawezi kataa hela mkuu....badilisha mbinu za kivita,kwakufanya hivyo utajua mbivu na mbichi
Kaka usipotanguliza pesa vita inakuwa ya muda mrefu sana na uwezekano wa kupata mbususu ni close to zero.

Prolonged warfare hainaga faida.
 
Its never sweet to be rejected by the ones you love, but sometimes for your own value,you have to let them go, your not for every one. You can only attract of your kind.
 
🤣🤣🤣 Umetisha Sana....lkn watu wabishi kama nyinyi huwa mnalipa gharama kubwa Sana ktk mapenzi...unajua mtu anaweza kuwa na wewe kwasababu unakuwa kero kwake,na hii huwatokea Sana wanaume,mwanamke anaamua kuwa na mwanaume ili Tu kupunguza Kero,na ndio hapo mizinga kama yote,najua mwanamke anayekupenda atahitaji umuhudumie lkn atakuwa anakuhurumia vile vile kwakuwa anakupenda.....Ila kwakuwa hakupendi atakukomoa Kwa mizinga mara Kwa mara.

Pili kwakuwa hakupendi ndo unaona hata mawasiliano yenu yanakuwa ya upande mmoja,wewe mbishi ndo wa kuanza kumjulia Hali kila siku,yaan usipomtafuta wewe nawe hakutafuti so ya nn yote hayo!
Hata asiponitafuta mi nnachojua tupo wote sideti peke angu
 
Mtoa uzi umenilenga, au umetumwa?
Kukataliwa kunauma sana.. maumivu yake ni makali mno.. nasoma comments roho ikiwa inaniuma sana... ila nyie wanaume Mungu anawaona 🙌🙌🙌😓😓😓
 
We jamaa uko kama mimi. Mimi sikumbuki mara ya mwisho kutongoza mwanamke ilikua mwaka gani? Na kwavile sitongozi, sina kumbu kumbu ya kuwahi kukataliwa.

Mimi nikivutiwa nachukua contact, naanza kujenga mazoea huku nasoma upepo. Ni rahisi sana kumgundua mwanamke ambae hayuko interested. Nikiona haeleweki napunguza mawasiliano nahamishia nguvu kwingine maisha yanaendelea. Mara nyingine utashangaa mwanamke ukimpunguzia mawasiliano yeye anaanza kukutafuta mwisho unamtafuna kirahisi tu.
Safi sana
 
tataizo hawa viumbe hawakukatai mwanzoni. wanakula hela zako ndio shida ilipo
Unaruhusuje kutoa pesa kabla hujajua msimamo wake kwako?! Otherwise unazungumzia mtu ambae tayari mko kwenye mahusiano halafu badae akuteme mimi hapo ndo naona ni tatizo hasa kwa mwanaume maana utakua ushainvest kwake vitu vingi sana. Lakini kama ndo unamtongoza for first time sioni kama itakuumiza sana coz huwezi kua umeinvest vitu vingi kiasi hicho
 
Hivi kwanini kuna hii kauli " huenda kuna mtu mwingine bora zaidi anakuja kwa ajili yako" ????
Mi naona kwamba mtu bora ni ww mwenyewe. Ibadilishwe tu iwe kwamba huwenda alivyokukataa kakufanya ujitambue ugeukie kilichokuketa duniani (life purpose) utumikie ulimwengu kwa weledi mapenzi yatakukuta huko huko kama yakitaka, yasipotaka pia in sha allah
Sijawahi kujidharau wala kujichukulia poa hata kidogo, principle yangu siku zote hua ni kama sio bora kwako basi nitakua bora zaidi kwa mwingine.....
 
Mtoa uzi umenilenga, au umetumwa?
Kukataliwa kunauma sana.. maumivu yake ni makali mno.. nasoma comments roho ikiwa inaniuma sana... ila nyie wanaume Mungu anawaona 🙌🙌🙌😓😓😓
Pole sana utazoea tu ,kasheshe kama mna onana yaani mpo karibu hapo Mama pretty rangi zote utaziona vizuri.Pole kwa mara nyingine tena.
 
Back
Top Bottom