Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Ila Kuna watu vinganganizi nyie hapana nilijuta [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka kosa ni pale tunapotanguliza pesa kama ndio njia ya kumnasa mrembo,hawezi kataa hela mkuu....badilisha mbinu za kivita,kwakufanya hivyo utajua mbivu na mbichitataizo hawa viumbe hawakukatai mwanzoni. wanakula hela zako ndio shida ilipo
Ndo inabidi upambane na Hali yako mkuuHapa tunasema tu, kuna watu wakikutaa it’s okay na kuna watu wakikukataa inauma sana
Sahii kabisa,We jamaa uko kama mimi. Mimi sikumbuki mara ya mwisho kutongoza mwanamke ilikua mwaka gani? Na kwavile sitongozi, sina kumbu kumbu ya kuwahi kukataliwa.
Mimi nikivutiwa nachukua contact, naanza kujenga mazoea huku nasoma upepo. Ni rahisi sana kumgundua mwanamke ambae hayuko interested. Nikiona haeleweki napunguza mawasiliano nahamishia nguvu kwingine maisha yanaendelea. Mara nyingine utashangaa mwanamke ukimpunguzia mawasiliano yeye anaanza kukutafuta mwisho unamtafuna kirahisi tu.
Kula 🤛🤛 kipenz changu....ni kweli my ❤️ na huo ndio ukweli wenyewe.Yeah,kukataliwa ni sehemu ya maisha love.Na inapaswa ukubali
Kaka usipotanguliza pesa vita inakuwa ya muda mrefu sana na uwezekano wa kupata mbususu ni close to zero.Kaka kosa ni pale tunapotanguliza pesa kama ndio njia ya kumnasa mrembo,hawezi kataa hela mkuu....badilisha mbinu za kivita,kwakufanya hivyo utajua mbivu na mbichi
Ndo inabidi upambane na Hali yako mkuu
Hata asiponitafuta mi nnachojua tupo wote sideti peke angu🤣🤣🤣 Umetisha Sana....lkn watu wabishi kama nyinyi huwa mnalipa gharama kubwa Sana ktk mapenzi...unajua mtu anaweza kuwa na wewe kwasababu unakuwa kero kwake,na hii huwatokea Sana wanaume,mwanamke anaamua kuwa na mwanaume ili Tu kupunguza Kero,na ndio hapo mizinga kama yote,najua mwanamke anayekupenda atahitaji umuhudumie lkn atakuwa anakuhurumia vile vile kwakuwa anakupenda.....Ila kwakuwa hakupendi atakukomoa Kwa mizinga mara Kwa mara.
Pili kwakuwa hakupendi ndo unaona hata mawasiliano yenu yanakuwa ya upande mmoja,wewe mbishi ndo wa kuanza kumjulia Hali kila siku,yaan usipomtafuta wewe nawe hakutafuti so ya nn yote hayo!
Safi sanaWe jamaa uko kama mimi. Mimi sikumbuki mara ya mwisho kutongoza mwanamke ilikua mwaka gani? Na kwavile sitongozi, sina kumbu kumbu ya kuwahi kukataliwa.
Mimi nikivutiwa nachukua contact, naanza kujenga mazoea huku nasoma upepo. Ni rahisi sana kumgundua mwanamke ambae hayuko interested. Nikiona haeleweki napunguza mawasiliano nahamishia nguvu kwingine maisha yanaendelea. Mara nyingine utashangaa mwanamke ukimpunguzia mawasiliano yeye anaanza kukutafuta mwisho unamtafuna kirahisi tu.
Unaruhusuje kutoa pesa kabla hujajua msimamo wake kwako?! Otherwise unazungumzia mtu ambae tayari mko kwenye mahusiano halafu badae akuteme mimi hapo ndo naona ni tatizo hasa kwa mwanaume maana utakua ushainvest kwake vitu vingi sana. Lakini kama ndo unamtongoza for first time sioni kama itakuumiza sana coz huwezi kua umeinvest vitu vingi kiasi hichotataizo hawa viumbe hawakukatai mwanzoni. wanakula hela zako ndio shida ilipo
Sijawahi kujidharau wala kujichukulia poa hata kidogo, principle yangu siku zote hua ni kama sio bora kwako basi nitakua bora zaidi kwa mwingine.....Hivi kwanini kuna hii kauli " huenda kuna mtu mwingine bora zaidi anakuja kwa ajili yako" ????
Mi naona kwamba mtu bora ni ww mwenyewe. Ibadilishwe tu iwe kwamba huwenda alivyokukataa kakufanya ujitambue ugeukie kilichokuketa duniani (life purpose) utumikie ulimwengu kwa weledi mapenzi yatakukuta huko huko kama yakitaka, yasipotaka pia in sha allah
Pole sana utazoea tu ,kasheshe kama mna onana yaani mpo karibu hapo Mama pretty rangi zote utaziona vizuri.Pole kwa mara nyingine tena.Mtoa uzi umenilenga, au umetumwa?
Kukataliwa kunauma sana.. maumivu yake ni makali mno.. nasoma comments roho ikiwa inaniuma sana... ila nyie wanaume Mungu anawaona 🙌🙌🙌😓😓😓