Tujifunze kupitia Zelenskyy na vita ya Ukraine

Trump yupo sahihi kwa asilimia zote na anaipenda Ukrein zaidi ya hao mnaowaita EU na NATO bila US, sasa ni mwaka wa tatu wanatoa misaada haisaidii, ardhi inachuliwa watu wananchi wanakufa na sasa siyo wanajeshi maana wanachukuluwa kinguvu mitaani,
Hivi kwa akili zao wanakitu gani kinangojwa kifanywe ili kufanya Urusi aache kuibomoa Ukraine?, Trum yupo sahihi kutumia njia hiyo kusimamishwa mauaji
 
Hawana cha kumwamulia ukraini nini cha kufanya... una akili za kiccm sana. Ataamuliwa lila kitu kutoka Washington. Mpaka sasa mafia wa Russia na Marekani wameshakaa kwa majadiliano pale Riyadh Saudia.
Kwanza mwezi October uchaguzi utafanyia huku ukraine. Zele hawezi kuchaguliwa tena. Asubiri kuikimbia nchi.
 
Marekani ni snitch na taifa la hovyo sana yaani yeye na wenzake wa NATO wameipa Ukraine silaha zenye thamani ya mabilioni ya dollars kuisaidia ila kwenye madini ya Ukraine anakula peke yake 🤣🤣🤣

Safari hii Pro-West mtamwelewa Kissinger

"It may be dangerous to be America's enemy, but to be America's friend is fatal."
–Henry Kissinger (Former U.S Secretary of State)​
 
Kwani huo moja wao wa NATO wanajilinda na nani? Somalia? Kwa taarifa yako tu, wanajilinda na Russia.
 
Nchi Bado IPO kwenye martial law huo uchaguzi atafanya baba yako.
 
Yaani ni kwamba Marekani na Urusi wamegawana

Urusi yeye atakula madini ya majimbo yaliyo chini yake na kule Marekani anabwia ya upande wake

Hapo Mrusi atamwita Mchina mkali wa kuprocess hayo madini duniani waanze kupiga hela

Dunia ya wakubwa hii U.S, Russia, China
 
Trump ni mwehu anamwambia Zelensky usitumie kichaka cha vita kukaa madarakani muda mrefu ruhusu uchaguzi ufanyike usilete mambo ya udikteta.
 
Pye pye pye nyingi sana bila kutueleza kosa lake halisi ni lipi lililosababisha vita hivyo!

Hatuwezi kuambiwa dikteta na sisi tukaimba kiitikio cha wimbo huo bila ya kutafakari maelezo ya kina yatakayotolewa oande zote za mgogoro.
 
We ni kilaza futa huu upupu wajukuu zetu wasije kuona mwaka 2097 itakua ni aibu
 
Umesahau Iraq
 
Medvedev kichaa kabisa angewadhaliisha.
 
Amejifunza Kagame
Kuwahi maeneo Congo kama Putin alivyofanya Ukraine
Kwahiyo Trump akimwachia Putin achukue asilimia 25 ya Ukraine hata Kagame ataachiwa Goma, Kivu, Bukavu na maeneo mengine akijitwalia.......
 
Kwa hiyo Iddi Amini alikurupuka kama kichaa akapeleka majeshi kagera na kuivamia Tanzania ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…