DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Sisi wanaume tumeumbwa ili tuishi Na wanawake kwa amani Na upendo
Wanasema nyumba ni mwanamke
Hata ujenge nyumba nzuri sana pembeni ya bahari ikiwa hujapata mwanamke hiyo nyumba itakuwa Ukiwa tu!
Hata tukiwa disco halafu halina wanawake basi halijanoga!
Sifa kuu ya mwanamke mzuri yeyote ni uvumilivu!!
Hata awe mchoyo mchawi mwenye tamaa kama ni mvumilivu basi mahusiano yatadumu!
Wanasema kuwa mwanaume hatulii mpaka atulizwe!
Mwanamke atulii mpaka atulie!
Maana yake ni kuwa hatma ya mahusiano iwe ndoa upenzi au uchumba iko mikononi mwa wanawake!
Tukiona ndoa imevunjika tujue kuwa ni mwanamke kaamua!
Hili mchungaji shelkh au mahakama haiwezi kukuambia!
Kwa sisi bachelors Na spinsters tujue haya kabla ya kuingia ktk ndoa pale tuchaguapo wenzi tuchague wavumilivu sio wazuri! Sijui msambwanda chura huo ni ubatili tu labda awe mvumilivu Na chura yake!
DJ sepetu