Tujifunze kushi Na wanawake

Tujifunze kushi Na wanawake

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Sisi wanaume tumeumbwa ili tuishi Na wanawake kwa amani Na upendo

Wanasema nyumba ni mwanamke
Hata ujenge nyumba nzuri sana pembeni ya bahari ikiwa hujapata mwanamke hiyo nyumba itakuwa Ukiwa tu!

Hata tukiwa disco halafu halina wanawake basi halijanoga!

Sifa kuu ya mwanamke mzuri yeyote ni uvumilivu!!
Hata awe mchoyo mchawi mwenye tamaa kama ni mvumilivu basi mahusiano yatadumu!

Wanasema kuwa mwanaume hatulii mpaka atulizwe!
Mwanamke atulii mpaka atulie!
Maana yake ni kuwa hatma ya mahusiano iwe ndoa upenzi au uchumba iko mikononi mwa wanawake!

Tukiona ndoa imevunjika tujue kuwa ni mwanamke kaamua!
Hili mchungaji shelkh au mahakama haiwezi kukuambia!

Kwa sisi bachelors Na spinsters tujue haya kabla ya kuingia ktk ndoa pale tuchaguapo wenzi tuchague wavumilivu sio wazuri! Sijui msambwanda chura huo ni ubatili tu labda awe mvumilivu Na chura yake!

DJ sepetu
 
Maisha ya ndoa hayana formula, kila mmoja ana mchango mkubwa kuhakikisha ndoa ina dumu katika amani, furaha na upendo pia... Sio mwanamke tuu bali hata mwanaume ana nafasi kubwa katika kuhakikisha upendo na amani havikauki kwenye nyumba yake
 
Ila nyie mmechukua great asilimia

DJ sepetu
 
Utaratibu upo palepale akichepuka hata km nilimuoa Jana anarudi kwao! sasa hivi nategemea kuoa mke wa 3 wengine washarudi kwao.
Kasoro yako hadi achepuke....

DJ sepetu
 
Sisi wanawake ni wavumilivu sana na ukiona mwanamke ameamua kutoka kwenye ndoa yake jua yamemchosha na amechoka

Yote kwa yote hata mwanaume pia ana mchango wake sana basi tu huwa inatokea ya kutokea kama mmeshachokana kikubwa ni kumtanguliza Mungu mbele
 
Ila nyie mmechukua great asilimia

DJ sepetu
Hiyo ya kusema asilimia kubwa ndo hubomoa sasa... Kila mmoja ana nafasi yake.. Mie nikipewa nafasi ya baba sitaweza na baba akipewa nafasi ya mke hawezi pia.... Kila mmoja ana umuhimu mkubwa katika ndoa yake
 
Mmh. Hapo kwenye uvumilivu ni dalili ya kukandamizana. Hivyo mwanaume hapaswi kuwa nao?
 
Hiyo ya kusema asilimia kubwa ndo hubomoa sasa... Kila mmoja ana nafasi yake.. Mie nikipewa nafasi ya baba sitaweza na baba akipewa nafasi ya mke hawezi pia.... Kila mmoja ana umuhimu mkubwa katika ndoa yake
Suala ni kwamba kama mwanamke hajaamua ndoa haiwezi vunjika atavumilia yote hata kama mumewe
Ni kichomi

DJ sepetu
 
Hiyo ya kusema asilimia kubwa ndo hubomoa sasa... Kila mmoja ana nafasi yake.. Mie nikipewa nafasi ya baba sitaweza na baba akipewa nafasi ya mke hawezi pia.... Kila mmoja ana umuhimu mkubwa katika ndoa yake
Kukamilishana kupo ila ukiona ndoa ni nani imara yua mwanamke ni imara and the verse versa

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom