Kifupi tumwite KichecheTusithubutu tena kuwafananisha Diara na Camara tena
Diara ni mlinda lango yaani goal keeper ni anajua muda Gani atoke na muda wa kuwa langoni
Foot work yake Iko juu
Ni vigimu kumwona Diara anapoteza mipira
Anapanga mabeki vyema
Anaita walinzi wake vizuri
Diara ni kipa namba 1 team ya Taifa Mali
Tukija Kwa Camara
Huyu ni goal keeper wa kizamani yaani tulimwita nyanda
Anadaka kama paka
Ana papara
Footwork ya ovyo
Anakurupuka kutoka langoni
Team ya Taifa Guinea Yuko bench
Sasa huyu shabiki wa UTO analinganisha kipa wake na kipa wa simba ila mkitoka hapo mnasema mashabiki wa simba ndio wanalinganisha hao makipaTusithubutu tena kuwafananisha Diara na Camara tena
Diara ni mlinda lango yaani goal keeper ni anajua muda Gani atoke na muda wa kuwa langoni
Foot work yake Iko juu
Ni vigimu kumwona Diara anapoteza mipira
Anapanga mabeki vyema
Anaita walinzi wake vizuri
Diara ni kipa namba 1 team ya Taifa Mali
Tukija Kwa Camara
Huyu ni goal keeper wa kizamani yaani tulimwita nyanda
Anadaka kama paka
Ana papara
Footwork ya ovyo
Anakurupuka kutoka langoni
Team ya Taifa Guinea Yuko bench
Siyo vzr kumkejeli tumwache tumsifie kwakuwa ni mbux3 watamuacha ili tumbutue tuchukue ubingwaTusithubutu tena kuwafananisha Diara na Camara tena