Tujifunze kutofautisha kati ya goal keeper( mlinda lango) na mdakaji (catcher)

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Tusithubutu tena kuwafananisha Diara na Camara tena

Diara ni mlinda lango yaani goal keeper ni anajua muda Gani atoke na muda wa kuwa langoni
Foot work yake Iko juu
Ni vigimu kumwona Diara anapoteza mipira
Anapanga mabeki vyema
Anaita walinzi wake vizuri
Diara ni kipa namba 1 team ya Taifa Mali

Tukija Kwa Camara
Huyu ni goal keeper wa kizamani yaani tulimwita nyanda
Anadaka kama paka
Ana papara
Footwork ya ovyo
Anakurupuka kutoka langoni
Team ya Taifa Guinea Yuko bench
 
Hakuna cha maana ulichoandika zaidi ya chuki na ushabiki,sometimes ushabiki unawafanya muonekane mazezeta
 
Wiki mbili zijazo siku kama ya leo mbivu na mbichi zitajulikana
 
Tusithubutu tena kuwafananisha Diara na Camara tena

Diara ni mlinda lango yaani goal keeper ni anajua muda Gani atoke na muda wa kuwa langoni
Foot work yake Iko juu
Ni vigimu kumwona Diara anapoteza mipira
Anapanga mabeki vyema
Anaita walinzi wake vizuri
Diara ni kipa namba 1 team ya Taifa Mali

Tukija Kwa Camara
Huyu ni goal keeper wa kizamani yaani tulimwita nyanda
Anadaka kama paka
Ana papara
Footwork ya ovyo
Anakurupuka kutoka langoni
Team ya Taifa Guinea Yuko bench
Kifupi tumwite Kicheche
 
Sasa huyu shabiki wa UTO analinganisha kipa wake na kipa wa simba ila mkitoka hapo mnasema mashabiki wa simba ndio wanalinganisha hao makipa
 
Tusithubutu tena kuwafananisha Diara na Camara tena

Diara ni mlinda lango yaani goal keeper ni anajua muda Gani atoke na muda wa kuwa langoni
Foot work yake Iko juu
Ni vigimu kumwona Diara anapoteza mipira
Anapanga mabeki vyema
Anaita walinzi wake vizuri
Diara ni kipa namba 1 team ya Taifa Mali

Tukija Kwa Camara
Huyu ni goal keeper wa kizamani yaani tulimwita nyanda
Anadaka kama paka
Ana papara
Footwork ya ovyo
Anakurupuka kutoka langoni
Team ya Taifa Guinea Yuko bench
Siyo vzr kumkejeli tumwache tumsifie kwakuwa ni mbux3 watamuacha ili tumbutue tuchukue ubingwa
 
Back
Top Bottom