Utakuwa na mtindio wa akili.Rwanda ni nchi ndogo ki eneo lakini in raia 13000000.
Ukubwa wa jeshi la Rwanda ni kwamba Ina active personnel 33000
Jeshi 33000 lenye serikali imara ni ngumu Sana Ku invade.
Tujifunze Vita ya Israel na Hamas. Israel pamoja nakuwa na jeshi Bora na zana bora za kivita, lakini mpaka sasahivi wasumbuwana na kikundi kidogo cha ugaidi.
USA pamoja na kuwa na jeshi bora walihangaika miaka 20 na Kikundi cha Tariban
Ndugu zangu tuache utani. Sio rahisi kuivamia Rwanda. Vita sio lelemama. Vita ni kazi Sio rahisi kuangusha jeshi la nchi. Tuache utani.
Hamas au gaidi anayejiweka wazi ujue kuanzia siku aliyojiweka wazi hautakuja umuone hadharani.Hamas,Taliban sio jeshi ni sawa na panyaroad sasa unaweza wamaliza panyaroad kweli bila wao kujiweka wazi.
Magaidi hawana base kama jeshi wao ushambulia upotea
Unajua kati ya hao mil13 wahutu ni wangapi na watusi ni wangapi ...nachukia sana watu ambao amtumii akili zenu vizuri ...vita ni akili...Rwanda ni nchi ndogo ki eneo lakini in raia 13000000.
Ukubwa wa jeshi la Rwanda ni kwamba Ina active personnel 33000
Jeshi 33000 lenye serikali imara ni ngumu Sana Ku invade.
Tujifunze Vita ya Israel na Hamas. Israel pamoja nakuwa na jeshi Bora na zana bora za kivita, lakini mpaka sasahivi wasumbuwana na kikundi kidogo cha ugaidi.
USA pamoja na kuwa na jeshi bora walihangaika miaka 20 na Kikundi cha Tariban
Ndugu zangu tuache utani. Sio rahisi kuivamia Rwanda. Vita sio lelemama. Vita ni kazi Sio rahisi kuangusha jeshi la nchi. Tuache utani.
Vipi hili jeshi la CCM ambalo makada na watoto wao wanarithishana nafasi nono?Rwanda ni nchi ndogo ki eneo lakini in raia 13000000.
Ukubwa wa jeshi la Rwanda ni kwamba Ina active personnel 33000
Jeshi 33000 lenye serikali imara ni ngumu Sana Ku invade.
Tujifunze Vita ya Israel na Hamas. Israel pamoja nakuwa na jeshi Bora na zana bora za kivita, lakini mpaka sasahivi wasumbuwana na kikundi kidogo cha ugaidi.
USA pamoja na kuwa na jeshi bora walihangaika miaka 20 na Kikundi cha Tariban
Ndugu zangu tuache utani. Sio rahisi kuivamia Rwanda. Vita sio lelemama. Vita ni kazi Sio rahisi kuangusha jeshi la nchi. Tuache utani.
Rwanda hiyo hiyo ya kikabila mkuu. Hakuna nchi ngumu kuipiga Tanzania mzee. Tunatukanana na maccm jaribu kumtukana Rais wetu ukiwa ni raia wa nje. Rwanda wahutu wamenyamazishwa lakini wanakinyongo balaa. Wakipata mwanya wanakinukisha. Kingine Kagame hata watusi wenzie hawampendiRwanda ni nchi ndogo ki eneo lakini in raia 13000000.
Ukubwa wa jeshi la Rwanda ni kwamba Ina active personnel 33000
Jeshi 33000 lenye serikali imara ni ngumu Sana Ku invade.
Tujifunze Vita ya Israel na Hamas. Israel pamoja nakuwa na jeshi Bora na zana bora za kivita, lakini mpaka sasahivi wasumbuwana na kikundi kidogo cha ugaidi.
USA pamoja na kuwa na jeshi bora walihangaika miaka 20 na Kikundi cha Tariban
Ndugu zangu tuache utani. Sio rahisi kuivamia Rwanda. Vita sio lelemama. Vita ni kazi Sio rahisi kuangusha jeshi la nchi. Tuache utani.
Tena kavaa kanzu kama imamuogopa mtu unayepigana naye kavaa nguo za fred vunja bei sio za jeshi
Unaumwa malaria sugu wewe.Rwanda hiyo hiyo ya kikabila mkuu. Hakuna nchi ngumu kuipiga Tanzania mzee. Tunatukanana na maccm jaribu kumtukana Rais wetu ukiwa ni raia wa nje. Rwanda wahutu wamenyamazishwa lakini wanakinyongo balaa. Wakipata mwanya wanakinukisha. Kingine Kagame hata watusi wenzie hawampendi
Mnapenda sana kuimba ushoga.Yule shoga machoko wenzake wanampa sana promo!
Wongo hana hata watu.Lakini kale kajamaa karefu kameigeuza Afrika mashariki kama barazani kwake kanafanya kanavyo taka na nina uhakika kana watu wake karibu Kila idara afrika mashariki kukapiga inabidi ujipange kweli kweli
Aaaa shekhe ndo umetoka msikitini??Vita ngumu ni urban war gorilla war iyo ndo vita ngumu na askari ni infantry (askari wa miguu)hao wengine wote ni maselule tuu cjui navy,cjui airforce hamna kitu ukiwa na jeshi imara la ardhini akuna mtu atakae kuchezea TANZANIA ina jeshi dogo lakini ni imara wa Ardhini infantry Command ya tz ina askari takribani 15000 ila navy wapo 8000 na airforce cjui 7000 jeshi la ardhini la TZ achana nalo kabisa majirani wanajua...
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app