Tujifunze kutoka Gaza

Tujifunze kutoka Gaza

Vita ngumu ni urban war gorilla war iyo ndo vita ngumu na askari ni infantry (askari wa miguu)hao wengine wote ni maselule tuu cjui navy,cjui airforce hamna kitu ukiwa na jeshi imara la ardhini akuna mtu atakae kuchezea TANZANIA ina jeshi dogo lakini ni imara wa Ardhini infantry Command ya tz ina askari takribani 15000 ila navy wapo 8000 na airforce cjui 7000 jeshi la ardhini la TZ achana nalo kabisa majirani wanajua...

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Bora nimekuona afande ukituambia kweli.

Hao wengine wamejazwa propaganda tu.

Cc T14 Armata
 
Nd
Rwanda ni nchi ndogo ki eneo lakini ina raia 13,000,000.

Ukubwa wa jeshi la Rwanda ni kwamba Ina active personnel 33,000
Jeshi 33000 lenye serikali imara ni ngumu Sana ku-invade.

Tujifunze Vita ya Israel na Hamas. Israel pamoja nakuwa na jeshi Bora na zana bora za kivita, lakini mpaka sasa hivi wasumbuwana na kikundi kidogo cha ugaidi.

USA pamoja na kuwa na jeshi bora walihangaika miaka 20 na Kikundi cha Tariban

Ndugu zangu tuache utani. Sio rahisi kuivamia Rwanda. Vita sio lelemama. Vita ni kazi sio rahisi kuangusha jeshi la nchi. Tuache utani.
Indivyo walivyokuambia mashoga wenzip marekani kwamba Hamas ni magaidi
 
Bora nimekuona afande ukituambia kweli.

Hao wengine wamejazwa propaganda tu.

Cc T14 Armata
Kudhani army ndio jeshi bora unakuwa na mindset mbovu na ya kimaskini. Majenerali wa Soviet Union wao nchi yao kubwa sana walijifanya kutegemea infantry wakati kufanya maandalizi ya haraka kumdhibiti adui aliye upande mwingine wa nchi inachukua wiki kadhaa. Ambavyo nchi yenye air force nzuri inatumia uwezo huo kuzuia movement ya adui huku army inajipanga.

Kwa upande wa nchi yenye ardhi kubwa sana, air force ni muhimu mno. Kwa nchi ya visiwani kama Japan, navy ni muhimu mno ndio maana Marekani ilitumia miaka minne kupigana na Imperial Japanese Navy alafu kama mwaka kupigana na mainland Japan iliyobaki defenseless baada ya Navy kumalizwa nguvu.
Nenda Uingereza uliza umuhimu wa English navy kwenye historia yao mpaka wakatawala dunia, battles ngapi wameshinda ambazo ni decisive. Uingereza ni visiwa.

Umuhimu wa air force ulianza kuonekana kwenye Spanish civil war ambapo Nazi Germany ilivisaidia vikosi vya General Franco ambavyo vilikuwa vinapigana kienyeji sana, na Franco alikuwa General wa kawaida mno. Ujerumani ilitoa ndege kufanya airlift kubeba wanajeshi wa Franco kutoka Morocco kwenda Spain, na ndege zilikuwa zinashambulia maadui wa Franco waliokuwa na nguvu ardhini ila angani hawana kitu. Pale Ujerumani ilikuwa kwenye mazoezi ya kuingia WW2, ikajifunza na kuingia na mbinu zilezile ikasumbua dunia.

Kuna nchi kama Switzerland zina air force nzuri sana na army ya kawaida sababu hata population ni ndogo. Majeshi yanayojifariji eti Airforce sio muhimu huwa yanaficha aibu ya umaskini. Israel ilitumia Airforce kushinda 6 days war, ukitegemea Army peke yake jua utatumia muda mwingi na utapokea vifo vingi sana.

Nchi nyingi huwa zinachukulia Army, Navy na Airforce ni muhimu kwa pamoja. Nchi za Kiafrika sababu ya umaskini almost zote zinaelekeana kwa mbinu na silaha, na kwa umaskini hazina budi kupigana kwa infantry zaidi. Na vita za Afrika huwa ni za majirani, ila itokee mfano Misri ipigane na Ethiopia ndio utajua umuhimu wa Airforce. Au itokee Tanzania ivamiwe na meli za kivita za adui, infantry wataogelea kupigana?
 
Una hoja nzito, ndo maana nikakuita uje utoe neno kwenye eneo lako ulilobobea
 
Rwanda ni nchi ndogo ki eneo lakini ina raia 13,000,000.

Ukubwa wa jeshi la Rwanda ni kwamba Ina active personnel 33,000
Jeshi 33000 lenye serikali imara ni ngumu Sana ku-invade.

Tujifunze Vita ya Israel na Hamas. Israel pamoja nakuwa na jeshi Bora na zana bora za kivita, lakini mpaka sasa hivi wasumbuwana na kikundi kidogo cha ugaidi.

USA pamoja na kuwa na jeshi bora walihangaika miaka 20 na Kikundi cha Tariban

Ndugu zangu tuache utani. Sio rahisi kuivamia Rwanda. Vita sio lelemama. Vita ni kazi sio rahisi kuangusha jeshi la nchi. Tuache utani.
Sasa unajifunza nini kutoka Gaza imechakazwa ni magofu matupu raia wapalestina wanataseka wanakimbilia kwenye makambi nyumba zimevunjwa hamas wapo mapangoni wamekufa wapalestina 22000 sioni faida ya Hamas iliyopata ilipoenda kuichokoza Israel zaidi ni kugeuzwa jangwa na viongozi wa Hamas wameuawa
 
Huyo unayembishia ni afisa wa jeshi hivyo anajua mengi
Kua afsa wa jeshi sio kujua Kila kitu, achukue hilo akafanye uchunguzi atajua kweli hajui mengi
 
We mwehu kweli,
Kuna kauli toka TZ ikisema tutapigana na Rwanda.
Hao wana ugomvi wao huko Burundi na DRC.
Si tutapokea wakimbizi.
 
Lakini kale kajamaa karefu kameigeuza Afrika mashariki kama barazani kwake kanafanya kanavyo taka na nina uhakika kana watu wake karibu Kila idara afrika mashariki kukapiga inabidi ujipange kweli kweli
Hukupata taarifa za jasusi wa Tanzania mwenye haiba ya kitusi,aliyekua deep ndani ya intelijensia ya Rwanda katikati ya miaka ya 2000!?..alituma mzigo wa kutosha makumbusho,toka pale kagame akakata mguu kuja kwenye sherehe za uhuru wa Tanganyika na kutema mikwara mingi,hako kanchi ni kitabu kilicho wazi kwa Tanzania
 
Kuna mwingine alitaka kusepa na nyaraka za jeshi la jwtz wakamuua
Halafu wakatangaza kuwa ametoroka na wanamtafuta

Back
Top Bottom