chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Wa Tanzania, tujivunie hata hapa tulipofikia, reli yetu ni moja kati ya reli ndefu sana. Uganda wana kilometa 227 ambazo watajenga kwa miaka minne. Kwa wastani wa reli yetu, Uganda wangejenga kwa miaka karibu 20. Tena anayejenga ni jenerali wa vita Kaguta Museveni.
Tuwe na uvumilivu na tuipende nchi yetu. Samia, jenga pole pole hiyo reli, wasikukimbize kana kwamba wana mgonjwa wa tumbo la kuhara yuko hoi anasubiri reli iishe aende hospitali. Pole pole lakini kwa viwango.