Tujifunze kwa Uganda, reli yao kilometa 227 wataijenga kwa miaka minne, sisi Tanzania kilometa karibu 2000 tunalazimisha ziishe ndani ya miaka mitano

Wa Tanzania, tujivunie hata hapa tulipofikia, reli yetu ni moja kati ya reli ndefu sana. Uganda wana kilometa 227 ambazo watajenga kwa miaka minne. Kwa wastani wa reli yetu, Uganda wangejenga kwa miaka karibu 20. Tena anayejenga ni jenerali wa vita Kaguta Museveni.

Tuwe na uvumilivu na tuipende nchi yetu. Samia, jenga pole pole hiyo reli, wasikukimbize kana kwamba wana mgonjwa wa tumbo la kuhara yuko hoi anasubiri reli iishe aende hospitali. Pole pole lakini kwa viwango.

View attachment 3138954
Uganda wenyewe wanajifunza kwetu kujenga SGR alafu wewe unatuambia Tanzania tujifunze kwa mwanafunzi! Hii kweli akili ya Matope ( kaw Sauti ya Tundu Lissu)
 
Project ni utaalamu, SGR iende kama wataalamu walivyosema, sio pressure za wananchi kuona reli kwa ghafla
 
Wa Tanzania, tujivunie hata hapa tulipofikia, reli yetu ni moja kati ya reli ndefu sana. Uganda wana kilometa 227 ambazo watajenga kwa miaka minne. Kwa wastani wa reli yetu, Uganda wangejenga kwa miaka karibu 20. Tena anayejenga ni jenerali wa vita Kaguta Museveni.

Tuwe na uvumilivu na tuipende nchi yetu. Samia, jenga pole pole hiyo reli, wasikukimbize kana kwamba wana mgonjwa wa tumbo la kuhara yuko hoi anasubiri reli iishe aende hospitali. Pole pole lakini kwa viwango.

View attachment 3138954
We kalaghabaho, from 1970 to 1975, China imejenga TAZARA , 1860km toka Dar es salaam hadi Kapiri Mposhi.
Miaka mitano(5) tu.
We unaongea nini?
 
Ni sawa maana hata wakikimbiza bado sgr kenya haijafika mpakani mwao kwa hiyo wana buy time. Wana advantage pia maana soon wataanza kupta petro dollars zitawasaidia.
 
Project ni utaalamu, SGR iende kama wataalamu walivyosema, sio pressure za wananchi kuona reli kwa ghafla
Acha ujinga wewe, nyie ndio mna akili za kuwapangia wakulima bei huku hata bei ya mbolea hamjui
 
Hamia Uganda ukasubirie treni kwa miaka 4.
 
Nani asiyejua biashara za Malori yao.
Unafikiri wangesema lililojema kwa Watanzania.
Uko Sahihi kabisa, Awawezi kuzungumzia Mazuri ya Reli Yetu KUMALIZIKA Mapema Kwa Sababu ya Malori Yao, Biashara Zao za Mchongo za Maroli Zitakufa
 
Waganda wanakuja kasi sana kimaendeleo na Kwa ufanisi mkubwa katika utumiaji wa rasilimali zake.Siku si nyingi wanatuacha mbali kimaendeleo sababu ya huyu mama kuvuruga Kila kitu na kushadadia petty issue kama safari za Dubai na marekani Kila siku zisizo na tija yeyote zaidi ya kutumbua hovyo Kodi zetu tu
Hakuna kitu kule uchumi wao umeteteleka ile mbaya, Uganda hauwezi kuilinganisha na Tz kwa maendeleo tumewaacha mbali mnooo.
 
Waganda wanakuja kasi sana kimaendeleo na Kwa ufanisi mkubwa katika utumiaji wa rasilimali zake.Siku si nyingi wanatuacha mbali kimaendeleo sababu ya huyu mama kuvuruga Kila kitu na kushadadia petty issue kama safari za Dubai na marekani Kila siku zisizo na tija yeyote zaidi ya kutumbua hovyo Kodi zetu tu
Mama huko kishamaliza, kishasaini mikataba ya reli zote. sasa hivi mama Samia yupo kwenye kurusha satellite angani. Viwanja vya ndege na kuunda ndege zetu wenyewe.

usicheze na spidi ya mama, ni 5G na anaitafuta 6G

Umelala?
 
Wa Tanzania, tujivunie hata hapa tulipofikia, reli yetu ni moja kati ya reli ndefu sana. Uganda wana kilometa 227 ambazo watajenga kwa miaka minne. Kwa wastani wa reli yetu, Uganda wangejenga kwa miaka karibu 20. Tena anayejenga ni jenerali wa vita Kaguta Museveni.

Tuwe na uvumilivu na tuipende nchi yetu. Samia, jenga pole pole hiyo reli, wasikukimbize kana kwamba wana mgonjwa wa tumbo la kuhara yuko hoi anasubiri reli iishe aende hospitali. Pole pole lakini kwa viwango.
Tujifunze kwa Uganda amabo hata ujenzi haujaanza au wao wajifunze kwetu ambao tayari tumeshaanza kuitumia SGR?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Wa Tanzania, tujivunie hata hapa tulipofikia, reli yetu ni moja kati ya reli ndefu sana. Uganda wana kilometa 227 ambazo watajenga kwa miaka minne. Kwa wastani wa reli yetu, Uganda wangejenga kwa miaka karibu 20. Tena anayejenga ni jenerali wa vita Kaguta Museveni.

Tuwe na uvumilivu na tuipende nchi yetu. Samia, jenga pole pole hiyo reli, wasikukimbize kana kwamba wana mgonjwa wa tumbo la kuhara yuko hoi anasubiri reli iishe aende hospitali. Pole pole lakini kwa viwango.

View attachment 3138954
Nakumbuka kuna. mtaalamu wetu aliwahi kutamka kwamba kwa kilometers za reli yetu itatuchukua miaka zaidi ya 10 if not 15 na watu wakambeza sana but huo ndio ukweli maana hata hawa financiers pia wanakuahodi pesa halafu wanaweka financial constraints ili baadae waje kinamna nyingine kuendesha huo mradi wao kwa njia nyingine.
 
Nani asiyejua biashara za Malori yao.
Unafikiri wangesema lililojema kwa Watanzania.
Yes huyu alisema ukweli na kipindi hicho ilikuwa enzi ya Magu mnadhani kwa sasa hiyo 15 si ishapita toka tumeanza mobilization na site clearence kwa maana ya date of eexecution of the contract? Hapa ngoma ndio kwanza mbichi tuwe tunasimamia ukweli huwezi kujenga reli kwa speed hiyo wanayodhani especially ukiwa unategemea pesa ya kukopa kwa vipande vipande kila segment inakuwa na financier tofauti.
 
Back
Top Bottom