Mbowe na yeye anashinda Dubai, hajui kama kuna uchaguzi wa serikali za mitaa uko jirani. Lissu na yeye anashinda kwa mabwana wa ubelejiWaganda wanakuja kasi sana kimaendeleo na Kwa ufanisi mkubwa katika utumiaji wa rasilimali zake.Siku si nyingi wanatuacha mbali kimaendeleo sababu ya huyu mama kuvuruga Kila kitu na kushadadia petty issue kama safari za Dubai na marekani Kila siku zisizo na tija yeyote zaidi ya kutumbua hovyo Kodi zetu tu
Unafahamu miaka 60 iliyopita Japan walikuwa na uchumi gani?Tanzania haiwezi kupangwa mbio moja na Japan
Kwa utaratibu huu unadhani Wakandarasi wa Barabara wataacha kulia kutolipwa?Wa Tanzania, tujivunie hata hapa tulipofikia, reli yetu ni moja kati ya reli ndefu sana. Uganda wana kilometa 227 ambazo watajenga kwa miaka minne. Kwa wastani wa reli yetu, Uganda wangejenga kwa miaka karibu 20.
Tuwe na uvumilivu na tuipende nchi yetu. Samia, jenga pole pole hiyo reli, wasikukimbize kana kwamba wana mgonjwa wa tumbo la kuhara yuko hoi anasubiri reli iishe aende hospitali. Pole pole lakini kwa viwango.
View attachment 3138954
Wa Tanzania, tujivunie hata hapa tulipofikia, reli yetu ni moja kati ya reli ndefu sana. Uganda wana kilometa 227 ambazo watajenga kwa miaka minne. Kwa wastani wa reli yetu, Uganda wangejenga kwa miaka karibu 20.
Tuwe na uvumilivu na tuipende nchi yetu. Samia, jenga pole pole hiyo reli, wasikukimbize kana kwamba wana mgonjwa wa tumbo la kuhara yuko hoi anasubiri reli iishe aende hospitali. Pole pole lakini kwa viwango.
View attachment 3138954
UKwa utaratibu huu unadhani Wakandarasi wa Barabara wataacha kulia kutolipwa?
Ndugu hivi hapo unailaumu serikali Yako katika kuwahi kukamilisha miradi?? Unastahili kunyongwa Kwa kuishi na mawazo ya miaka 56 huko.Wa Tanzania, tujivunie hata hapa tulipofikia, reli yetu ni moja kati ya reli ndefu sana. Uganda wana kilometa 227 ambazo watajenga kwa miaka minne. Kwa wastani wa reli yetu, Uganda wangejenga kwa miaka karibu 20. Tena anayejenga ni jenerali wa vita Kaguta Museveni.
Tuwe na uvumilivu na tuipende nchi yetu. Samia, jenga pole pole hiyo reli, wasikukimbize kana kwamba wana mgonjwa wa tumbo la kuhara yuko hoi anasubiri reli iishe aende hospitali. Pole pole lakini kwa viwango.
View attachment 3138954
Tuwe na uvumilivu na tuipende nchi yetu. Samia, jenga pole pole hiyo reli, wasikukimbize kana kwamba wana mgonjwa wa tumbo la kuhara yuko hoi anasubiri reli iishe aende hospitali. Pole pole lakini kwa viwango.
Nani huyo anayeilazimisha serikali?Wa Tanzania, tujivunie hata hapa tulipofikia, reli yetu ni moja kati ya reli ndefu sana. Uganda wana kilometa 227 ambazo watajenga kwa miaka minne. Kwa wastani wa reli yetu, Uganda wangejenga kwa miaka karibu 20. Tena anayejenga ni jenerali wa vita Kaguta Museveni.
Tuwe na uvumilivu na tuipende nchi yetu. Samia, jenga pole pole hiyo reli, wasikukimbize kana kwamba wana mgonjwa wa tumbo la kuhara yuko hoi anasubiri reli iishe aende hospitali. Pole pole lakini kwa viwango.
View attachment 3138954
Nani asiyejua biashara za Malori yao.Mhandisi wa mwandamizi TRC na pia mchumi rais Jakaya Kikwete walisema kumaliza mtandao wote wa ujenzi wa reli mpya SGR Tanzania ni zigo zito watambue watanzania....... :
Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika
February 5, 2020 Kilosa, Tanzania Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati sehemu za Gulwe na Kilosa, wataalamu wa ujenzi wa reli wamebainisha kuwa Tanzania itaendelea kuitumia...www.jamiiforums.com