Tujifunze Lingala kidogo! sio mbaya tukiingia 2025 tunajua maneno baadhi

Sasa hicho kikongomàni unaongea nà nani?
 
Ghatho beevans
 
Posa ya bolingo - Hamu ya Mapenzi
 
twende kazi
Bolingo nanga, fololo ya bolingo kufwa eeh,
yalelo na bolingo kufwaa eeh ooh kufwaaa eeeh nawe.
Hicho
(kibantu sitafsiri ushaelewa hapo)
Sebene sebene, sebeneee,
Hapo kuna Chameleone sio Jose akiingia inapigwa Rhumba mpaka utakaa.
Ferre Gora huyo
 
Those are POWERFUL WORDS, basi tu waafrika tumekimbia ASILI zetu, ila kiuhalisia ukiangalia baadhi ya maneno yatumikayo KIROHO kupitia majina ya ASILI, Yana nguvu na msisimko mkubwa kuliko hata Yale majina na maneno tuliyokalilishwa na wakoloni+dini zao bandia za ukristo na uislam.
 
Wow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…