Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Aisee mi nitabadili kabila langu la kisukuma!
 
Umeongelea na kuangalia upande mmoja bdo haujasema THEIR DARK SIDE
mfano. Kisirani, kiburi, kutokupenda ndugu, many are not good in caring n.k naombeni muongezee
 
Sichangiii kitu Maana nilishapata Bann kutokana na uongo wa..............,.......
 
Namba mbili hapo,inategemea,umempata wapi huyo sweet mangi uliyeoa,wa mjini hawa ambao hawajuhi hata Lugha yao,hamna kitu,
Namba 3 hapo,hiyo hata wanawake wa kikinga,pale njombe,wanachakarika sana,sawa sawa na wamakua wa Lindi/masasi
hatujakataa ila wanawake wa kichaga watakuwa wanaongoza uchakarikaj
 
Sichangiii kitu Maana nilishapata Bann kutokana na uongo wa..............,.......
hahaha mkuu nakukunbka katka uz wa bkb vs msh niliwagaragaza sana ww na instanbul
hadi sasa ukiona jina moshi unatetemeka maini polee
 
Umeongelea na kuangalia upande mmoja bdo haujasema THEIR DARK SIDE
mfano. Kisirani, kiburi, kutokupenda ndugu, many are not good in caring n.k naombeni muongezee
naona hujui chochote
wachaga wanapendana sana ktk familia mmoja akifanikiwa anainua wengine
hii n elementary wala haihitaji ubishi
hata Mikoan wakikutana wanaji organize wanasaidiana
 
hahaha mkuu nakukunbka katka uz wa bkb vs msh niliwagaragaza sana ww na instanbul
hadi sasa ukiona jina moshi unatetemeka maini polee
Asante, Juzi nimepata BANN.
Haha haha haha ngoja tuendelee kula wali Nazi apa Msimbazi uzaramoni, mikoani tuwaache kama walivyo wakija Dar es salaam apa ni kutafuta Pesa tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Utakuwa hujaenda Moshi au unaisikia kwenye radio,kwani hapo namba 4 umeongopa,kwa kuwa Moshi kuna machangudoa kibao,hasa Malindi Bar jirani na round about ya KNCU au nyuma ya Voda House na jirani pale chriss burger machangu wamejaa kibao mpaka barabarani wamejipanga.
 
mkuu naomba uanzishe uzi ili watu wachanhie ili tuweke history vizuri ili watakao kuwa wanachangia watupe na sisi maarifa
 
Kilimanjaro nyumba za kisasa tangu zaman MBNA
tangu 1986 hakuna nyumba ya nyasi KLM
n mkoa wa pili kwa naisha bora kwa mujibu wa takwimu za wizara ya feedha
na ndo miongoni mwa mikoa inayochukiwa na system lakini wananchi wanaishi maisha mazuri kuzidi yale ya wale wanaopendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…