jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 623
hahaha kwann ulipewa ban?Asante, Juzi nimepata BANN.
Haha haha haha ngoja tuendelee kula wali Nazi apa Msimbazi uzaramoni, mikoani tuwaache kama walivyo wakija Dar es salaam apa ni kutafuta Pesa tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
hao n kutoka singida wanakuja kuvizia hela moshiUtakuwa hujaenda Moshi au unaisikia kwenye radio,kwani hapo namba 4 umeongopa,kwa kuwa Moshi kuna machangudoa kibao,hasa Malindi Bar jirani na round about ya KNCU au nyuma ya Voda House na jirani pale chriss burger machangu wamejaa kibao mpaka barabarani wamejipanga.
wazo zurmkuu naomba uanzishe uzi ili watu wachanhie ili tuweke history vizuri ili watakao kuwa wanachangia watupe na sisi maarifa
Waache kuiba tuWachaga wanajitahidi sana katika nyanja mbalimbali za maendeleo.
Na wakiendelea kumtanguliza Mungu huyu zimwi mtu anayewachukia ataendelea kuaibika tu.
Wabillah Tawfiq
akili zako za kucheza baikoko utabk na umaskini hivyo hivyoWaache kuiba tu
Wafanye ya halali huyo unaimwita zimwi hataki wezi
najua umenielewa ukibisha basi kiburi
Na ukiona mchaga anashabikia ccm ujue huyo ni wa Nje ya ndoa!!Wachaga wanapenda sana familia
U have no idea!akili zako za kucheza baikoko utabk na umaskini hivyo hivyo
MTU akiwa na maendeleo n mwizi?,?mtazid kulala vijumba vya nyasi hadi Mpate akili
akili mgando badala ya kuiga mbnu za kimaendeleo mnakalia kusema weziU have no idea!
Wacha tulale vijumba vya nyasi.
mbona shega tu,
hahaha sii kweliNa ukiona mchaga anashabikia ccm ujue huyo ni wa Nje ya ndoa!!
hahahaAranyia kiimbo choo kiicha..
Naona unajiachia tu .....akili mgando badala ya kuiga mbnu za kimaendeleo mnakalia kusema wezi
watazd kuwaburuza kila idara hadi mtapopata akili
Lukushele na mochi yaruuhahaha
n looiLukushele na mochi yaruu