Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Asante, Juzi nimepata BANN.
Haha haha haha ngoja tuendelee kula wali Nazi apa Msimbazi uzaramoni, mikoani tuwaache kama walivyo wakija Dar es salaam apa ni kutafuta Pesa tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
hahaha kwann ulipewa ban?
 
Utakuwa hujaenda Moshi au unaisikia kwenye radio,kwani hapo namba 4 umeongopa,kwa kuwa Moshi kuna machangudoa kibao,hasa Malindi Bar jirani na round about ya KNCU au nyuma ya Voda House na jirani pale chriss burger machangu wamejaa kibao mpaka barabarani wamejipanga.
hao n kutoka singida wanakuja kuvizia hela moshi
huwez mkuta manka anafanya upuuz huo
 
kuna cku nilisikia watu wanaongea wakasema kuzaliwa moshi tu tayari una degree ya kimaisha
mwingne akafananisha watu wa moshi na wa israel
 
Wachaga wanajitahidi sana katika nyanja mbalimbali za maendeleo.

Na wakiendelea kumtanguliza Mungu huyu zimwi mtu anayewachukia ataendelea kuaibika tu.

Wabillah Tawfiq
Waache kuiba tu
Wafanye ya halali huyo unaimwita zimwi hataki wezi
najua umenielewa ukibisha basi kiburi
 
Waache kuiba tu
Wafanye ya halali huyo unaimwita zimwi hataki wezi
najua umenielewa ukibisha basi kiburi
akili zako za kucheza baikoko utabk na umaskini hivyo hivyo
MTU akiwa na maendeleo n mwizi?,?mtazid kulala vijumba vya nyasi hadi Mpate akili
 
akili mgando badala ya kuiga mbnu za kimaendeleo mnakalia kusema wezi
watazd kuwaburuza kila idara hadi mtapopata akili
Naona unajiachia tu .....
Uwizi haujawahi kuwa mbinu ya kimaendeleo
ni laana tupu
waambie nduguzo wajibidiishe kutafuta vya halali
 
Back
Top Bottom