Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Mimi ni mtu wa kusini na hakika sina cha kujifunza toka kwa wachagga, kama ni matambiko hata mimi na familia yangu tunafanya kila mwaka japo si kila X-mas ila ni kila mwaka na hatuendi kuhesabiwa, ni kusoma tu misa za wafu, kufagia makaburi, na kufanya sadaka.
 
Tujifunze wizi na kwenda kanisani sana bila kusahau ukabila!
 
Another wasted sperm!
 
povuu
 
Naona unajiachia tu .....
Uwizi haujawahi kuwa mbinu ya kimaendeleo
ni laana tupu
waambie nduguzo wajibidiishe kutafuta vya halali
hivi we mcheza sindimba kichwan zimo?
mtu akiwa na Mali n mwizi? usidhan kuwa watu wote wana akili finyu ka we watu wanapambna we unasema wez
walikuibia pumbu zko au
 
wavivu na wajinga utawajua t u
Kwani hukuona juzi tu walipoambiwa walete bajeti ya mazishi ya Akwilina wakaona furusa 80m mmmmh!! Halafu nenda jpili kanisani wamejazana ila wakikuona unapesa wanakusukia dili. Mkuu nawajua nimeoa dada yenu!!
 
hivi we mcheza sindimba kichwan zimo?
mtu akiwa na Mali n mwizi? usidhan kuwa watu wote wana akili finyu ka we watu wanapambna we unasema wez
walikuibia pumbu zko au
P...zang ..ziliibwa na mamio
ukimwona mwambie arudishe maana nataka
nitumie sehemu nyingine huko nishachoka.
 
Eheeeee, ukweli umekuwa povu siku hizi? Kuna nini mimi nijifunze toka kwa mchagga, there's nothing to learn from them kama kujitambua ninajitambua fika.
endelea kucheza sindimba hapo mtwara baada ya kuuza korosho
unaongeza mke wa pili huku unalala nyumba ya nyasi hongera kwa kujitambua
 
Kwani hukuona juzi tu walipoambiwa walete bajeti ya mazishi ya Akwilina wakaona furusa 80m mmmmh!! Halafu nenda jpili kanisani wamejazana ila wakikuona unapesa wanakusukia dili. Mkuu nawajua nimeoa dada yenu!!
na watazd kupaa kimaendeleo tu wivu umewajaa pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…