jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 623
otana mekuNgiicha laaalu kudii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
otana mekuNgiicha laaalu kudii.
Hakuna asiyefahamu kuwa kuna Kabila Moja Nchini Tanzania ambalo linajulikana sana kwa mihangaiko ya maisha maana karibu kila sehemu unapokwenda hata vijijini lazima utasikia kwa MANGI kama si kwa jina hilo basi utakuta wanatumia jina jingine kama yanavyojulikana majina ya Kichaga, Mushi,Kessy,Assey,Marando,Tarimo nk.
Lakini hili Kabila inipofika mwezi wa 12 kama sasa huanza mihangaiko ya kwenda kwao kwaajili ya kusherekea sikukuu ya X-Mass. Je tujifunze nini kutoka kwa kwa Kabila hili? Maana kuna baadhi ya watu husema kuwa wengi wa Wachaga huenda kwaajili ya kufanya matambiko Mbalimbali je ni kweli?
Matondo na masembo kapsaan looi
kuore ma nyang'au yadulolya uwifu
Aika mbee kanyi.otana meku
Tujifunze wizi na kwenda kanisani sana bila kusahau ukabila!Hakuna asiyefahamu kuwa kuna Kabila Moja Nchini Tanzania ambalo linajulikana sana kwa mihangaiko ya maisha maana karibu kila sehemu unapokwenda hata vijijini lazima utasikia kwa MANGI kama si kwa jina hilo basi utakuta wanatumia jina jingine kama yanavyojulikana majina ya Kichaga, Mushi,Kessy,Assey,Marando,Tarimo nk.
Lakini hili Kabila inipofika mwezi wa 12 kama sasa huanza mihangaiko ya kwenda kwao kwaajili ya kusherekea sikukuu ya X-Mass. Je tujifunze nini kutoka kwa kwa Kabila hili? Maana kuna baadhi ya watu husema kuwa wengi wa Wachaga huenda kwaajili ya kufanya matambiko Mbalimbali je ni kweli?
Another wasted sperm!Mimi ni mtu wa kusini na hakika sina cha kujifunza toka kwa wachagga, kama ni matambiko hata mimi na familia yangu tunafanya kila mwaka japo si kila X-mas ila ni kila mwaka na hatuendi kuhesabiwa, ni kusoma tu misa za wafu, kufagia makaburi, na kufanya sadaka.
hahahaMatondo na masembo kapsaa
povuuMimi ni mtu wa kusini na hakika sina cha kujifunza toka kwa wachagga, kama ni matambiko hata mimi na familia yangu tunafanya kila mwaka japo si kila X-mas ila ni kila mwaka na hatuendi kuhesabiwa, ni kusoma tu misa za wafu, kufagia makaburi, na kufanya sadaka.
wavivu na wajinga utawajua t uTujifunze wizi na kwenda kanisani sana bila kusahau ukabila!
hagaha achana na hawa wacheza sindimba wakiuza korosho wanwongeza mke wa 2 wakati nyumba anayolala n ya nyasiAnother wasted sperm!
hivi we mcheza sindimba kichwan zimo?Naona unajiachia tu .....
Uwizi haujawahi kuwa mbinu ya kimaendeleo
ni laana tupu
waambie nduguzo wajibidiishe kutafuta vya halali
Kwani hukuona juzi tu walipoambiwa walete bajeti ya mazishi ya Akwilina wakaona furusa 80m mmmmh!! Halafu nenda jpili kanisani wamejazana ila wakikuona unapesa wanakusukia dili. Mkuu nawajua nimeoa dada yenu!!wavivu na wajinga utawajua t u
Another wasted sperm!
povuu
Hahahahaha Kweli aiseeDuh!warombo mbona umewaweka kama watu wa nyongeza?
Nimemshangaa sana huyu mzee baba coz warombo wamedorminate sana pande hizo za uchagani.Hahahahaha Kweli aisee
P...zang ..ziliibwa na mamiohivi we mcheza sindimba kichwan zimo?
mtu akiwa na Mali n mwizi? usidhan kuwa watu wote wana akili finyu ka we watu wanapambna we unasema wez
walikuibia pumbu zko au
endelea kucheza sindimba hapo mtwara baada ya kuuza koroshoEheeeee, ukweli umekuwa povu siku hizi? Kuna nini mimi nijifunze toka kwa mchagga, there's nothing to learn from them kama kujitambua ninajitambua fika.
na watazd kupaa kimaendeleo tu wivu umewajaa poleKwani hukuona juzi tu walipoambiwa walete bajeti ya mazishi ya Akwilina wakaona furusa 80m mmmmh!! Halafu nenda jpili kanisani wamejazana ila wakikuona unapesa wanakusukia dili. Mkuu nawajua nimeoa dada yenu!!