of course kuna mengi ya kujifunza mimi chuo marafiki zangu walikuwa wachaga, jamaa kila sehemu wapo na wanajitoa, kwenye kwaya, japo wadada hawajui kucheza step ila walikuwa wengi, ukichukua wapiga kinanda wa kibosho tu ni sawa na wakuria wote wanaojua kinanda, kwenye vikao vya chadema walikuwa ni wengi na hawaogopi kugombea, dada wa kichaga unaweza kumtokea akawa anakupenda ila kama mchaga mwenzie anampenda hata kidogo atakuambia kuwa tayari ana wake, nilimaliza cho nikaenda moshi, cjakuta wahindi wengi kwenye maduka, ni full wachaga, jumapili makanisa yanajaa, wana ardhi ndogo lakini utakuta wamelima mpaka milangoni, migomba mahindi, kahawa, umeme mpaka ndani huduma ya maji mpaka vijijini, utakuta kuna mamlaka ya maji ubwe na lymungo, nyumba za nyasi sijaziona eneo nililokuwa-kibosho umbwe