Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Ulivyosema unatoka mkoa wa bara kwani moshi ni mkoa wa peanut?
 
A to Z. Pesa tu mkuu.. kwo mji wote wa moshi, umejawa na watu wanawaza pesa tu? nzuri hiyo, itawafaa sana kupiga maendeleo. lakini hawa wachaga mbona wanapenda sana, kuoa wanawake wa kinyakyusa? kuna nini hapo.
 
Namba 12 nilijua ni mchaga mmoja tu mwenye makidai kumbe wako wengi.
Ninachowapendea zaidi wachaga wa kiume sio wachoyo. Wanajua kutafuta na kutumia pesa. Wajomba zangu shikamooni.
 


Rua akutarame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…