Tujifunze ujasiri wa Zelensky Rais wa Ukraine

Tujifunze ujasiri wa Zelensky Rais wa Ukraine

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Usipokua mtu wa kuappreciate mambo mazuri wanayoyafanya wenzako ni ngumu sana kujifunza na kufanikiwa

Sisi waafrika hatu-appreciate mambo mazuri ya watu wengine ndo maana tuko vilevile, ni rahis sana kwa mwafrika kumuona mwezake amefanikiwa balaa ya ku-appreciate ataanza kumtuhumu ni freemasons, mara mwizi ni mwendo wa majungu mwanzo mwisho

Hata kama adui yako humpendi jifunze ku-appreciate zile progress anazofanya kwenye maisha yake na ziwe motivation kwako

Zelensky ni jasiri vibaya mno sawa anaweza shindwa vita na russia hayo ni matokeo ambayo hakuna anayejua precisely what will happen because no one know tommorow tunajifunza kwa zelensky mambo yafuatayo


Usikate tamaa kwenye maisha even when all odds are against you
Wakati vuguvugu la vita linaanza marekani walimuahid assylum zelensky yeye na familia yake aende marekani wakijua ni ngumu kumzuia putin na russia, lakin alikataa na sio tu alikataa bali ni kipind ambacho all odds are against him, kwenye maisha kuna point unafikia all odds are against you usiogope endelea kupambana sababu kwenye ugumu ndo sehemu pakukutoa kirahisi

Kwenye maisha usipgope kufa
Zelensky ni moja ya marais wamekosa kosa kuuliwa mara nyingi sana kabla na baada hata ya vita lakin hakuogopa kusimamia kile anachoamin, kwenye maisha wako watakaotaka kukatisha uhai wako either direct au indirect jambo ambalo unalotakiwa uwe elewa hakuna atakayeishi milele huku duniani hata hao wanataka kukua nao pia watakufa

Zelensky anapigania ile ambayo ni haki yao, kamwe usiombe ruhusa kwa mtu yeyote kupigania haki yako
ilianza putin kuchukua crimea wakakaa kimya, putin akapandikiza mamluki kule ukraine ya mashariki, baadae akataka kuchukua nchi yote waukraine wakamwambia enough is enough safari hii haiwezekan tutapigania haki yetu mpaka dakika ya mwisho, kwenye maisha mtu asijifanye ana nguvu akataka kuharibu maisha yako hapana kukubali kirahis rahis

Kwenye maisha haijalish adui yako au changamoto ni kubwa kiasi gani kamwe usiogope kukumbana nayo
Wakati chokochoko ya vita inaanza dunia nzima ilijua ni swala la mda russia anapindua serekali na wanaweka mtu wao lakin ni mwaka wa pili bado vita vinaendelea, kwenye maisha ya upambanaji

Kwenye maisha tumia mbinu yeyote ile ili uweze kufanikisha jambo lako
Zelensky mara anawaomba marekani silaha, mda mwingine utamkuta anawaomba nchi za ulaya silaha watu wanamkosoa lakin zelensky kwenye maisha anatufundisha tumia mbinu yeyeote ile ufanikisha pasipo kutishiwa na mtu yaan usikubali kufa na tai shingoni tumia all option ili ufanikishe jambo lako

Usiquite ili uwafurahishe wale wanakuponda au kukuchukia stay focus
Zelensky ni mtu ambaye anapondwa sana na watu lakin nyuma ya wanaomponda wanataka zelensky aquit ili awafurahishe, kwenye maisha usikubali ku-quit ili umfurahishe yule ambaye hakutakii mema ni kosa kubwa sana.

Usiogope kufail kwenye jambo lolote lile ambalo unalifanya
Watu wanamtuhumu zelensky kwamba ata afail yaan ni kama wanamuogopesha lakin zelensky still yuko focus haogopi kufail, kwenye maisha ya upambanaji usikubali kwa sababu hutakuwa wakwanza kufail
 
WaRusi wa Kimara mnaitwa huku
20230521_104401.jpg
 
Binafsi naona tuwape hongera kwa ujasiri raia wa Ukrain wanaopigana vita.

Huyo Zelensky haendi mstari wa mbele, ila bila yeye kukataa kuondoka Ukrain, Warusi wangeishaiteka kipindi kile cha msururu wa vifaru kuelekea Kiev.

Hakika vita hiyo inatisha hasa kwa upande wa raia wa Ukrain na wanajeshi wao. Angalia Urus anavyorusha makombora lakini wanajeshi wa Ukrain hawakati tamaa wanaendelea kupigana.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Zelensky si mzalendo na wala hana ujasiri wowote tuache unafiki.
Unafikiri kumdindia russia na putin ni kazi rahisi
Usipokua mtu wa kuappreciate mambo wanayoyafanya wenzako ni ngumu sana kujifunza

Sisi waafrika hatua-appreciate mambo mazuri ya watu wengine ndo maana tuko vilevile, ni rahis sana kwa mwafrika kumuona mwezake amefanikiwa balaa ya ku-appreciate ataanza kumtuhumu ni freemasons, mara mwizi ni mwendo wa majungu mwanzo mwisho

Hata kama adui yako humpendi jifunze ku-appreciate zile progress anazofanya kwenye maisha yake na ziwe motivation kwako
 
Unafikiri kumdindia russia na putin ni kazi rahisi
Usipokua mtu wa kuappreciate mambo wanayoyafanya wenzako ni ngumu sana kujifunza....
Umeandika vyema sana ila stori ni tofauti kwa Zelensky hana ujasiri wa aina yoyote ile, na anachokifanya ni kufuata na kufanya kile nchi washirika wanachokitaka.
 
Umeandika vyema sana ila stori ni tofauti kwa Zelensky hana ujasiri wa aina yoyote ile, na anachokifanya ni kufuata na kufanya kile nchi washirika wanachokitaka.
Kwa mtizamo wako hana ila kwa matendo yake na aliyepitia so far ni ujasiri tosha

Zelensky anapigania kile waukraine wanachotaka ndo maan so far hakuna hata raia mmoja wa ukraine anampinga, wangekua hawampendi hizi safari zake za kila siku ungekuta ameshapinduliwa
 
Kwa mtizamo wako hana ila kwa matendo yake na aliyepitia so far ni ujasiri tosha

Zelensky anapigania kile waukraine wanachotaka ndo maan so far hakuna hata raia mmoja wa ukraine anampinga, wangekua hawampendi hizi safari zake za kila siku ungekuta ameshapinduliwa
Wananchi na raia wa Ukraine hawataki mapambano yanayoendelea kwa sasa. Hata wakiwa chini ya Russia kwao ni sawa tu .. Tatizo lipo kwa rais wao anayepambania maslahi ya USA..
 
Wananchi na raia wa Ukraine hawataki mapambano yanayoendelea kwa sasa. Hata wakiwa chini ya Russia kwao ni sawa tu .. Tatizo lipo kwa rais wao anayepambania maslahi ya USA..
Hawataki kivip mbona hakuna maandamano ya kumpinga zelensky na mbona wanajeshi wa-ukraine wako mstari wa mbele kupigania nchi yao
 
Back
Top Bottom